Miss rwanda 2010 grace bahati is stunning…!!!

cute...hivi ukitaka kufanya nywele zako kama hivyo unatia nini???
saloon huku nilipo expensive..ila maduka ya kuuza hair products ya kumwaga.
 
Mtoto ka TWIGA, da jamani Everytime i look into her smile, i feel like flying to RWANDA
 
Hii sasa ndio kitu mie napenda kati na kati hata mchuano unakuwa mzuriiii sio ukiamka asubuhi mgongo na mikono inakuuma kwa mpambano!!! Nice picture she is a beauty
 
ngoja nimpigie simu Nyanzala wangu huku napotea njia kabisaaaaaa
 
Hawa watoto hata mimi nawazimia kishenzi....yaani amewiva tayari kwa kuvuna.
 
Nimemkubali anatabasamu la kuvutia kumbe unaweza kuuza nyumba ya urithi umpate mtoto kama huyu! aisee!! huyu kazaliwa!!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom