Amemmiss Mura....samahani simu yangu mbovu ina tabia ya kuandika yenyewe hata kama sijaishika. Nisaidieni kutafuta fundi wajameni....
Hapana chezea muziki wa muraaa hapo anamuwaza weeee ukizingatia wa sasa anakuwaga kila saa ana stress za arsenal ndio madhara hayo
mshana jr yaani acha tu......
Au labda hunipendi
Au labda sivutii
Au labda kisa silipuki
Au labda sikufikishi
Au labda sina mkwanja
Au labda mrefu sio mfupi bora ningekuwa size ya kati
Au labda natoka bara mwenzangu wa pwani
Au labda nina papara
Au labda mweusi
Au labda nipo busy sana
Au labda jina langu MO11
Au labda.........
miss neddy naomba uniweke wazi
wivu umezidi upendo ni uvivu zaidi vitendo kila siku lawama na kunizushia skendo kama hunitaki ni vema uniweke wazi nijue nitambue kwani mademu wapo shazi
Wow
I miss this song...!!!
Au labda hunipendi
Au labda sivutii
Au labda kisa silipuki
Au labda sikufikishi
Au labda sina mkwanja
Au labda mrefu sio mfupi bora ningekuwa size ya kati
Au labda natoka bara mwenzangu wa pwani
Au labda nina papara
Au labda mweusi
Au labda nipo busy sana
Au labda jina langu MO11
Au labda.........
miss neddy naomba uniweke wazi
wivu umezidi upendo ni uvivu zaidi vitendo kila siku lawama na kunizushia skendo kama hunitaki ni vema uniweke wazi nijue nitambue kwani mademu wapo shazi
Wow
I miss this song...!!!
hahaha afu weweee unataka kuleta vita tu muone
home usirudi niko notice board na hujaniambia
Leo nakufanyia bonge la surprise......
Yaani huwa unafanyaga siku yangu kuwa murua kwa comments zako...Na avata yako..
aibu naona mimi yaaani
Mistari yote halafu unaniambia unaona aibu
kumbe unanipenda ila unafanya makusudi
staki mpaka uniambie nshana nani kampa picha
Jumapili alikuja kunitembelea itakua kaitoa kabatini huyu.
Kaka wa mimi ohoo muke wa mtu huyu...
kumbe mpekuzi eeeeh tusimkaribishe tena na kesi yetu ile bado haijaisha
Kaka wa mimi ohoo muke wa mtu huyu...
hahaa kakako anataka kuleta maafa huyu fanya tumatafutie mke lol
sista wewe usijali mambo yote niachie mimi lazima anikubalie tu tunambeba tunaenda naye kwetu milimani namficha miaka mitano akirudi huku ana watoto wawili yule jamaa ake ananisusia
Wewe huniambii chochote hapa nilipo nimefungwa dripu la soda kwa ajili yako