Miss neddy is HOT!! Kudaadeki!!

Miss neddy is HOT!! Kudaadeki!!

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,175
Reaction score
34,410
miss neddy.jpg Haya bwana. Akiwa ametinga pamba zake za Pasaka huyu hapa miss neddy.

cc Eiyer, Mndengereko, Arushaone na Lady doctor hongereni kwa kuwa na binti mzurii full wese kudaadeki. OLESAIDIMU njoo umuone miss kauzibe, ICHANA... utafiti, farkhina :smile:
 
Last edited by a moderator:
Sooo hot kulaleki ndo mana king Excel anaruka mito na mabonde kwa ajil ya huyu mrembo
 
Last edited by a moderator:
Weee hujui fashion za wadada wa bongo now days wana vitambi kama wanaume.
..raha ya tumbo kubwa yake top na mkanda

Kwa hayo matumbo nadhani nikirudi sokoni nitakosa mchumba.....

Ngoja nisiseme mengi ila wajukuu zangu wanapaswa kupambana sana na hivyo vitambi vya chips na nyama choma!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hayo matumbo nadhani nikirudi sokoni nitakosa mchumba.....

Ngoja nisiseme mengi ila wajukuu zangu wanapaswa kupambana sana na hivyo vitambi vya chips na nyama choma!

Ungepata shida kupata mchumba
Waambie wajukuu wapambane na wasiogope kusema ukweli kuwa hampendez na vitambi
 
Ungepata shida kupata mchumba
Waambie wajukuu wapambane na wasiogope kusema ukweli kuwa hampendez na vitambi

Ndiyo nawambia namna hii....

Kwa kweli hata binti angekuwa mzuri kiasi gani, kitambi kinaharibu kila kitu.

Bahati nzuri ni kitu ambacho kinatibika au kuzuiliwa kirahisi. Ndiyo maana siku hizi hata wanaume wenye vitambi wamepungua sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom