Miss Mucobbs

Miss Mucobbs

Hahahhaha jamani, kwani umiss wanaangalia sura, maana kama ni sura hata paka anayo
 
Hamna picha aliyosimama? Mi ugonjwa wangu shepu....
 
attachment.php

mimi huyuu nikimpata natangaza ndoa kabisaaa...!!! WENGINE MNAPONDA TU HATA KULA DENDA NA DEMU WA AINA HII HAMJAWAHI.....!!

NATAMANI MAMA YANGU MZAZI ANGEKUWA MZURI NAMNA HII...!
 
sio kweli kwanza huyo anaonekana ni Miss 2015 wakati huu ni mwaka 2014 au waandaji wamechanganya mwaka?
 
Ina maana hats muccobs wamechaguliwa na anco lundenga.....?
 
mimi huyuu nikimpata natangaza ndoa kabisaaa...!!! WENGINE MNAPONDA TU HATA KULA DENDA NA DEMU WA AINA HII HAMJAWAHI.....!!

NATAMANI MAMA YANGU MZAZI ANGEKUWA MZURI NAMNA HII...!

Aiseee kwa hiyo mkuu mama yako unamuona m'baya?
 
Aiseee kwa hiyo mkuu mama yako unamuona m'baya?

mkuu hili ni kijembe tuu...ukweli wengi wetu tunapenda kuponda madem wkt ukweli mama zetu ni wa kawaida saana..!!

frankly speaking huyu ni mzuri kuliko mama yangu..! tho MAMA is my QUEEN..!
 
Back
Top Bottom