Miss Kinondoni 2009

  • Thread starter Thread starter MegaPyne
  • Start date Start date


hapo hamna hata mmoja. miss TZ atatoka ilala na ni sylvia shally
 
nyie hapo juu mwanchekesha its not the cover its the content...
 
mhh hii style ya kung'ta kidole.....

muwe mnaweka na namba zao za simu....

We Yo Yo, si umemgeukia Sir God juzi juzi hapa ....vipi yameshakushinda mkuu?......NN alikuonya hukumsikia ona sasa....bado udenda unakutoka...ha!ha!ha!
 
mhh hii style ya kung'ta kidole.....

muwe mnaweka na namba zao za simu....

Hapana msipagawe na hii picha kwani hamjaona MAKALIO, USAFIRI. Ila anastahili kwa muonekano usiofikirika sana.
 
Wadau Miss kinondoni hakuna kitu, Huyo wa ilala dah anafaa sana ila mafisadi hapo watatafuna mpaka mifupa ahahaha
 
Kinondoni Usanii mwingi warembo wenyewe hawana mvuto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…