Miss Hungry

japo ni mwanamke mwenzetu, ninaamini hata akipewa mbwa hakamati.
 
Unaweza kusikia huyu mwanamke anatengeneza mkwanja wa haja kwa jinsi alivyo,jikondeshe hapa Bongo uone jinsi utakavyonyanyaswa.
 
kama picha duka vile mmmh, kama ni mtu kweli basi ule usemi wa too much of anything is harmful ni kweli maana hapo hata skin tite kwake inakuwa trouser looh!! Mungu aepushie mbali kabisa
 
Yaani nimekukumbusha EPIQ BONGO STAR SEARCH Arusha. Maasai alisema napenda
mwanamke mrembo,akaulizwa kwa Madam
Rita unalipa ng'ombe ngapi ?

Duuh huyo nae mrembo sijui ng'ombe ngapi?
 
Miss Skinny katika pause.
 
Halafu wanaume wakipewa hapo wanapokea tuu

japo ni mwanamke mwenzetu, ninaamini hata akipewa mbwa hakamati.

kama picha duka vile mmmh, kama ni mtu kweli basi ule usemi wa too much of anything is harmful ni kweli maana hapo hata skin tite kwake inakuwa trouser looh!! Mungu aepushie mbali kabisa

awp & Smile. ... hapa je? - anyway hebu google neno hili Anorexia Nervosa utaelewa kinachowasumbua hawa


​
 
Halafu wanaume wakipewa hapo wanapokea tuu
 
Haki ya mungu huyo hapo mifupa ..dushe linaweza vunjikia huko
 
Reactions: awp
Khaa ndio nini tafiki wanaishi somalia hata bure

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wapenda vimbau mbau mpo? mwenye clip ya yule sheikh anayependa wanawake waliojazia jazia zile neema za allah atuwekee (ni ombi).
 
Mmmh, lazima watakuwa wagonjwa hao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…