Mbona mie kifanyio sina niazimishe chako
oyeeeeee
woow jaman ahsante sana ntafurahi
mpango wetu uko imara usiwaze kabisa. Dah ahsante kwa kunipokea jaman
hongerA ZAKO sanaaa.....leo mi naitwa kampeni meneja..sikuwa kampeni meneja...Jaman wapendwa napenda kuchukua fursa hii kuwashkuru wote walionipigia kura na wasionipigia na my campaign managers Slave, zubedayo_mchuzi, Baba V, @st.paka mweusi, Kipipi na figganigga kufanikisha kuwa mshindi no.2. Pia nimshukuru Ruhazwe JR kwa kuratibu zoezi zima pamoja na kuwasilisha zawadi kwa uongozi wa jf. Pia salam zangu za dhati ziende kwa uongozi wa jf kwa kuongeza kiasi cha pesa kwenye zawadi zetu na kuziwasilisha kwetu. Pia pongezi kwa washiriki wenzangu. Nawapenda wote and may Jf live long
.....naona mnaendelea na mipango yenu ya ndoa kimya kimya mkimaliza mtaniambia....nianze na mmoja mmoja
hoyeeeeeee kwa jeuri ya chama hiyebaaaa
We miss bantu mwenyewe sina hata haraka kisura najitambua shindano lijalo namiliki ulingo
Hata ufanyaje Passion Lady namlove
nilikumisije iv upo?
nilikumisije iv upo?
ahsante mpendwa