Nimekuwa nikifuatilia haya mashindano ya miss chit chat nashangaa sana sijawahi kuona mshiriki toka Arusha hata mara moja...imeniboa sana kila siku Dar au kwa kuwa mwendeshaji ni wa Dar?
Au Arusha mnaona sisi sio wa Chit-Chat????
Hata km hatuna wadada kwanini hao wachache wasipewe nafasi hata moja?
Im so bored lazma uandaaji uwe fair bhana.