Mpaka mh. Ruhazwe JR a.k.a ANKO LUNDENGA aje, tuendelee kulisongesha...Tuanze hatua za awali za mapendekezo ambapo unaruhusiwa kupendekeza majina matatu then unakaa pembeni. ANKO karocharocha, akija nampisha kwenye siti yake. Tuendelee....
Ha ha ha ha vigezo na masharti ni nini my dear,nipo kulinda ndoa hapa,
Rejea matoleo ya Nyuma jinsi tulivyoweka mkakati ktk kikao.
Ni hivi:
Miss ChitChat wa Mwezi Dec anapatikana kutoka ndani ya Mamiss waliotangulia
ambao ni wafuatao:
Mwezi August-Miss cacico
Mwezi September-Miss Remmy
Mwezi October-Miss Madame B
Mwezi November-Miss Ciello.
Hvyo basi Miss wa Mwezi December atatoka hapo juu ktk kundi la hao Ma-Miss
Asante.
Naomba members wote tukubaliane kama mapendezo ya awali tuya-implement au yawe null and void ili kuwapa nafasi waendelee kupatikana kwa utaratibu wa awali. Napendekeza mrembo bora wa 2012 apatikane mwisho wa mwezi Dec. ili tuendane na other sports.

Naomba zoezi lolote la umiss lisimamishwe hadi tutakapoweka utaratibu mzuri.
Arushaone simamisha zoezi hili na mjulishe Ruhazwe JR pia.
Km kuna lolote tutawasiliana.
I remain
Erickb52
Naona unarudia tena ili kuonyesha msisitizo.
naona wanakubania shem na jinsi nyota yako inavyong'aa mbona wangejibeba...