Miss Chit-Chat December 2012 Maandalizi ya Awali yameanza..

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,132
13,249
Mpaka mh. Ruhazwe JR a.k.a ANKO LUNDENGA aje, tuendelee kulisongesha...Tuanze hatua za awali za mapendekezo ambapo unaruhusiwa kupendekeza majina matatu then unakaa pembeni. ANKO karocharocha, akija nampisha kwenye siti yake. Tuendelee....
 
Last edited by a moderator:

Rejea matoleo ya Nyuma jinsi tulivyoweka mkakati ktk kikao.
Ni hivi:
Miss ChitChat wa Mwezi Dec anapatikana kutoka ndani ya Mamiss waliotangulia
ambao ni wafuatao:

Mwezi August-Miss cacico
Mwezi September-Miss Remmy
Mwezi October-Miss Madame B
Mwezi November-Miss Ciello.

Hvyo basi Miss wa Mwezi December atatoka hapo juu ktk kundi la hao Ma-Miss
Asante.
 
Last edited by a moderator:
Arushaone Ahsante mpenzi ila si unaona Madam B kashanidisquilify hamna njia yoyote dear unaweza fanya kweli ili nichukue nafasi yake,ha ha ha ha ila usisahau cheza na mshahara wangu ila si kazi yangu,angalia pia kazi yako d usijepoteza,
 
Last edited by a moderator:
aseeee kumbe nov inaelekea ukingoni eeh? mbona sijawafanyia lolote wana CC? Nilikuwa bize na tour then party dah kutahamaki dec hiyo mlangoni, nway mayb next tmy, bt for this contest naomba waandaaji waniweke pending coz siko fit kwa shindano
CC:mad:Ruhazwe JR na kamati ya maandalizi ya Miss CC
Rejea matoleo ya Nyuma jinsi tulivyoweka mkakati ktk kikao.
Ni hivi:
Miss ChitChat wa Mwezi Dec anapatikana kutoka ndani ya Mamiss waliotangulia
ambao ni wafuatao:

Mwezi August-Miss cacico
Mwezi September-Miss Remmy
Mwezi October-Miss Madame B
Mwezi November-Miss Ciello.

Hvyo basi Miss wa Mwezi December atatoka hapo juu ktk kundi la hao Ma-Miss
Asante.
 
Naomba members wote tukubaliane kama mapendezo ya awali tuya-implement au yawe null and void ili kuwapa nafasi waendelee kupatikana kwa utaratibu wa awali. Napendekeza mrembo bora wa 2012 apatikane mwisho wa mwezi Dec. ili tuendane na other sports.
 
Mimi nitaomba kuwa mmoja wa wadhamini ktk huu mchakato wa miss chit chat dec 2012 aka funga kazi

Tulishakaa tangu mwezi jana na wote tuliafiki.
Labda hukuchungulia Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Mimi nitaomba kuwa mmoja wa wadhamini ktk huu mchakato wa miss chit chat dec 2012 aka funga kazi

RUXA Chimbuvu! Tunakaribisha wadhamini wengine ili kuboresha jukwaa na hasa mshindi ambaye ndiye mlengwa.
 
Last edited by a moderator:
Naomba zoezi lolote la umiss lisimamishwe hadi tutakapoweka utaratibu mzuri.
Arushaone simamisha zoezi hili na mjulishe Ruhazwe JR pia.
Km kuna lolote tutawasiliana.

I remain
Erickb52
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom