Miss Chagga vaa tutoke...!!!

Miss Chagga vaa tutoke...!!!

Last edited by a moderator:
Mkuu toka umejua kula bata imekuwa shida,haya week end ndo hiyo inakuja wish u all the best kwenye maraha yenu.
 
hahah, bata 101 imeniboost bata morale yangu. saivi nawaza bata like eer hour. Amandla...........Awethu..........Africa! Thankx mkuu am already started here at Picolo!
 
hapo mbona sio mwake baba ungesogea mbelembele kidogo mitaa ya whitesand au comber beach ndo mwake zaidi ila as long as uko na mtoto najua hakiharibiki kitu.
 
Kama kawaida mkuu slow but sure
 
Back
Top Bottom