miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Nami ngoja nimuandae wangu tutoke..
unakuhja kumwandalia kwenye thread yangu sitaki
Nami ngoja nimuandae wangu tutoke..
Hahahaaaaaaaaaaaaaaa.....sina madhara ujue
unakuhja kumwandalia kwenye thread yangu sitaki
Jaman miss chagga hunialik best?
Ha haha ha aah!! Hutaki niwaige mnavyofanya?
sitaki kamfungulie thread yake hukooooo kwenye jukwaaa la siasa
Kha....wewe hunitakii mema, kwenye siasa tena..!!
Nitavurugwa hata huo mtoko hautakuwepo.
wewe si mgomvi nenda kule ... mi sitaki ugomvi kwenye thread yangu
unataka kuniambia wewe ni nyuki wa kwenye mashine
what a surprise nilijua umeniacha best donlucchese asante sana hizo pesa hizo usisahau kuniwekea bank ile niliyoomba best yangu. natka nikacheze hivi best
shukrani mkuu, wala usijali. Whats the reason of having all these stalks if miss chagga is nowhere around?Best answer alhamisi club nyingi tunawalipia siye wanaume...ladies kibaooo tunajichaguliamo tu
thanks donlucchese kumbe unampenda sana miss chagga my young sister
Baaaas, nawatuache tulale!ananipenda sana, na mimi nampenda pia
fanya hivyo mkuu, siku moja moja si mbayaNami ngoja nimuandae wangu tutoke..
shukrani mkuu, wala usijali. Whats the reason of having all these stalks if miss chagga is nowhere around?
Baaaas, nawatuache tulale!
kweli tufanye hivo, ntakupitia baadae kwenye saa moja hiviwametuganda best kama nini tukutane jioni
sorry kwa late response dear, nlikua na fanya mchakato wa reservation. Guess where we are going out for dinner this night??
kweli tufanye hivo, ntakupitia baadae kwenye saa moja hivi