MIss Botswana awa wa pili Miss World.

Usiandike comment tu ndio uonekane unachangia, frustration zenyu pelekeeni electoral body yenyu msituletee hapa jukwaani, kama hamkuamka mpige kura mnategemeaje slaa ashinde aje? Nyie mtatawaliwa na JK na cronies zake mpaka kiama, na mlicheka tukipigania haki yetu wakati kura zilipoibwa, angalia major steps tunazo make sasa, nyie bila change of the system mtabaki mkishangilia tu hiyo illusion yenyu ya amani, its like you traded peace for development.

BRINGITON.........

did your system change?,mbona leaders ni walewale wa KANU, Is change of the party name the change of the system even if leaders dönt change?!
 
We changed our system even before we switched to the new constitution, nyie mnajipigia upato kwa kuwa na amani kwenye kanda hii, swali muhimu mnafaa kujiuliza, uchaguzi unaokuja considering udini unao pimpiwa na CCM na njaa yao ya mamlaka, unadhani kutakuwa na amani... Na bila amani, unadhani kuna investors wowote (isipokuwa wachuma madini) watakuwa na interest na TZ?
 
lightened or darkened skin remains an issue to kenyans who r still under racial segregation: let me show you how tz glz look like-go to kilimanjaro, u find ladies as white as mrs bush, others as black as mrs odinga. To arusha-some as black as mrs galang while others as white as mrs najim balala. Should i drop u at kondoa u might think you have temporarily landed at dubai - to mention a few. Am about to be convinced that most of you (kenyans) have not yet being liberated from racialism.

What does my opinion got to do with Kenya? I am not a Kenyan representative and my views are mine alone. You say you are fighting racism yet you went ahead and made an ignorant statement about "most of you Kenyans" after reading the views of just one person. I am not sure whether I should call that being biased, hypocritical or just plainly stupid
 
Botswana+-+Emma+Wareus.jpg

Shes my FB friend sasa,nyie mle na macho tuu

daah! ka demu wangu kabsaaaaa!
 
did your system change?,mbona leaders ni walewale wa KANU, Is change of the party name the change of the system even if leaders dönt change?!

You are right on the money bro. Nyani haoni......
 
Yes she's cute!!!!

Tutumieni na picha za
Genevieve Mpangala tufanye walao ka comparson tujue wapi alishindiwa
 
Jmangi Haya ni Mashindano ya Urembo Siyo Uzuri wala Unene ...Binti ni mrembo kweli kweli

Halafu Usiwaze Ngono Ngono Ngono tuuuutuuuuuuuuu Kila Mara... Mtazame kwa Macho ya Ku appreciate Urembo wake na Siyo Macho ya Ufataki!

Hii nimeipenda manake iko elimu ya kutazama hapo, hahaa.. na macho inabidi kuazima manake utazame usiwaze nini? halafu ni mzima? Mh! mimi simo bora nisiangalie tena.
 
duu hivi ukimpata miss kama huyu ingawa mrembo analadha kwenye maana naona anamifupa tuu na kwenye mabega yake unaweza ukamimina maji ndoo ikaishia hapo

kwa hiyo yawepo na mashindano ya radha (utamu), maana binti asije akachaguliwa kuwa ni mzuri kuliko wote kumbe siyo mtamu.
 
Mimi sioni ni nini linawakera kuhusu matamshi yangu. I suspect the vitriol comes from the fact that wengine wenu mnawaenzi sana hawa ma-yellow-yellow. The fact is, the lady does have facial features suggesting she could have a Caucasian parentage (by the way, I consider people like Obama and Colin Powell to have caucasian features as well even though I am aware they consider themselves black). She's not really what you would call a typical African girl, thats all. And yes, I know there are light skinned Africans but even among those light skinned ones, you can tell who is an African 100 % and who is not.

Hakuna anaewaenzi wa yellow yellow wala black black, ni tabia ya mtu ndiyo inamfanya awe na thamani.

And by the way who is a typical African girl, and which part of Africa are you referring to? Let us see:
North Africa - mostly Arabs some with complexion not different from whites.
West Africa - typical bantus with dark complexion (black). Some tribes like Hausa, Mauritanians are slightly light skinned
Eastern Africa - nilotic types (Ethiopians, Somalis, Tutsis of Rwanda and Burundi, Maasais, Iraqs and Irangis of Central Tanzania) - slightly light skinned with long hair
Souther Africa - light skinned like the girl from Botswana.

So there is no way one can claim this one is more of an African girl than the other, they are all daughters of African soil.

Hiyo rangi rangi has no meaning, what matters is how quick the girls brain cells can react to environment (intelligence)
 
bintimkongwe; nyangau hawajui genetic diversity iliyopo africa; wanadhani yellow au light colored siyo african.. Shame upon them. Hii ni ishara ya backwardness.
 
Back
Top Bottom