Miss bantu uganda 2010

Miss bantu uganda 2010

.....kazi ya MCHINA haina makosa

Jamani sio kila kitu mchina, wadada wa hivyo ambao ni natural wapo kibao Afrika hii..tatizo ni kwamba mnakuwa hamjawaona wakati wanakua, bantu figure juu!
 
Ningekuwa hivi wangenikoma mashoga zangu, ugomvi kidogo namchukulia mumewe
 
attachment.php

Baraaaaaaaaaaaaa........... kitu natural hicho........ wanene wanajitumaga sana hawa ofisi zile za wakubwa.........
 
i cant imagine!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mungu anajua kuumba kila aina ya shapes, figures, etc. - haya kama ni natural.......................sifa kwa muumbaji na kama ni mchina.................mh matokeo yaja......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom