Miss bantu uganda 2010

Miss bantu uganda 2010

akajasembamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
1,193
Reaction score
1,809
Wengine tulikuwa hatujamuona au kusikia haya mashindano ya Miss Bantu Uganda,(kama tulivyoyaita sisi hapa Bongo) ingawa wenzentu hawajawa Hypocrites wameyaita kwa jina linalostahili BIG BUTT! Siyo sisi uwongo mwingi ooh tunatafuta mrembo wa Kibantu kumbe anatafutwa mwenye ashakuum si matusi makalio makubwa!
 
Attachments

  • boooju.jpg
    boooju.jpg
    48 KB · Views: 3,428
  • boojubuttwinner JULIE KAKA.jpg
    boojubuttwinner JULIE KAKA.jpg
    34.6 KB · Views: 3,232
Duuu ndo uzuri wa nyumba choo! Kweli nimeamini!
 
hakika hii butty, imekaa sawa sawa, ina mazoezi LOL
 
makalio amejaaliwa na kwa sura pia mzuri real african figure
 
wengine tulikuwa hatujamuona au kusikia haya mashindano ya miss bantu uganda,(kama tulivyoyaita sisi hapa bongo) ingawa wenzentu hawajawa hypocrites wameyaita kwa jina linalostahili big butt! Siyo sisi uwongo mwingi ooh tunatafuta mrembo wa kibantu kumbe anatafutwa mwenye ashakuum si matusi makalio makubwa!
ha ha ha ha ah safiiiiiiiiii
 
hakuna kituuu hapo mchinaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kitu cha haja,chafaa kwamtandao wa nusu shilingi.
 
attachment.php

Waaaoooh! Hapa mi mwenyewe nitaloweka nguo zangu ili nisiondoke!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom