eucalyptos
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 391
- 140
kuna mengi ya kujifunza kwa Jeshi la Egypt kwamba badala ya kuwaua waandamanaji wanawapatia mkate na maji ili kunusuru maisha ya raia wake, inawalinda huku ikipisha upepo wa nguvu ya Umma kupita. Kimsing ndio Jukumu la majeshi ya nchi yeyote ile i.e. Kulinda uhai wa raia wake na mipaka ya taifa lake. tunayo mengi ya kujifunza hapa.