Misri kwa Mubarak kutoka kama Rais bado

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
13,370
11,090
Aljazeera mpaka ndio wanaosema ukweli,(Live) kwamba mtu mmoja kauwawa na wengine 400 kuumia katika maandamano ye kumshinikiza Muba aondoke. Ngoma bado mbichi! hatujui kama Baradei, ukosefu wa kz au njaa.
Pande zote 2 zimekutana (wanaomunga mkono Rais Mubarak na kundi la wanaompinga wengine wameamua kuziba barabara na kusali kuiombea Misri.
Jeshi limeshaingila kati mpaka asubuhi kitaeleweka.
 
Mpaka kitaeleweka ila nahisi Mubarak ni bora angeachia madaraka mapema tu maana hii sasa itakuwa kuachia madaraka kwa fedhea
 
Aljazeera mpaka ndio wanaosema ukweli,(Live)
You cant be that sure unless una mtu kule. Usisahau hata AJ wako na bias zao (soma web yao utaona), so kuna vitu hawataonesha!

kwamba mtu mmoja kauwawa na wengine 400 kuumia katika maandamano ye kumshinikiza Muba aondoke. Ngoma bado mbichi! hatujui kama Baradei, ukosefu wa kz au njaa.
Pande zote 2 zimekutana (wanaomunga mkono Rais Mubarak na kundi la wanaompinga wengine wameamua kuziba barabara na kusali kuiombea Misri.
Jeshi limeshaingila kati mpaka asubuhi kitaeleweka.
Sidhani kama hii ni suluhu. Mi naona suluhu ni kumpa Mubarak muda mfupi aunde serikali ya mpito itakayoandaa uchaguzi kisha yeye aachie ngazi. Ni rahisi kwa Mubarak kukubali hili na wananchi kupata wanachotaka badala ya yeye kuondoka na kuiacha nchi ktk chaos. Maana mpaka sasa hakuna ambaye anaonekana atashika nafasi hiyo so likely kutate=okea machafuko ambayo hayana tija kwa raia wa Masr
 
Back
Top Bottom