Misosi ya Serena hotel

Wazee weekend inaingia, kuna mitoko na familia, nauliza bei ya misosi ya Serena hotel ikoje?

Mwanaume nataka kubadili upepo kidogo Mke na watoto wangu wasizoee sehemu za kawaida ,
Usikariri, serena ziko mikoa mingi acha ushamba.
 
Nishatoka kwa mama kaundime, nimekula wali, maharage na mchuzi wa kibua sijaacha hata mchuzi , nikapewa na maji kwenye jagi nimepiga yote mazee
 
kwan wana JF ni kina nani? Si hawa hawa wa mtaani?
 
Hela ya kula Serena hotel, nkipiga bajeti zangu natambaa nayo week 2, afu mlo wa mda m1.

kwa kua haikua yanguu, ila baas tyuuh, napo na mie nikasafisha macho kwa kukanyaga palee Serena.
 
Wazee weekend inaingia, kuna mitoko na familia, nauliza bei ya misosi ya Serena hotel ikoje?

Mwanaume nataka kubadili upepo kidogo Mke na watoto wangu wasizoee sehemu za kawaida ,
Chai ya maziwa sambusa mbili na yai moja elfu 30.

Wali samaki elfu 80.

Chipsi yai elfu 50
.

Kila la heri.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kweli au ila ngoja niingie ktk website yao
Huwezi Kuta bei za vyakula kwenye website huko ni vyumba tu. Inategemea unataka kwenda lini na kula Nini.

Kama ni jumapili basi jiandae kulipa 80k Kwa kichwa Wana kitu intwa branch na unlimited drinks. Sasa usishangae ukapewa bia 2 alafu mhudumu akatokomea akawa anarudi baada ya masaa 2
 
 
Hahahah mzee ulienda lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…