hakuna usemi mkubwa uliowahi kutolewa na mtanzania zaidi ya ule wa Kikwete "Akili za kuambiwa changanya na za kwako"
Hivi kweli mimi unikataze kula chakula flani kisa ugomvi sijui mikataba ya akina flani wa kusadikika, kweli?
mkuu
Bujibuji Simba Nyamaume naskia wahindi hawaruhusiwi kula nyama ya ng'ombe, ni kweli?