Misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Felister, Dec 27, 2010.

 1. F

  Felister JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ni mwaka mwingine tena unakaribia kuanza, mwaka (2011) ambao Tanzania itasherehekea miaka yake 50 tangu kuwepo kwenye ramani ya dunia. Kama taifa ni nini tunatafakari wakati huu?

  Je kama taifa nini ilikuwa misingi yetu wakati tukianza?

  Najiuliza hiyo misingi bado ipo au imeharibika na je ikiharibika mwenye haki atafanya nini?

  Hupendi rushwa lakini hupati huduma bila kutoa rushwa
  Hupendi nepotism (Undungu?) lakini nafasi za ajira chache, ushindani ni mkubwa na wewe hunachakuwapa wanao
  Hupendi udini lakini wewe unadini yako na unaipenda kwa moyo moja kuliko huyo Mungu unayemwamini ambaye ameumba vyote.
  Hupendi umaskini lakini fursa hazipatikani za kuondokana na umaskini bila kufanya ufisadi
  Unapenda kutumikia wenzako kwa moyo wako wote lakini malipo hayatoshelezi mahitaji ya familia
  Umwanafunzi mtiifu na mwenye kupenda shule lakini hakuna waalimu wala miundo mbinu ya kusoma
  Unakipaji cha uongozi na unajiamini lakini uongozi haupatikani bila kuwa na kianzio...(Chapa), pia uwe mwanachama wa chama fulani hatakama huamini wanachokiamini etc etc

  Lakini je tulianzaje? Misingi yetu ilikuaje? Hizo changamoto hazikuwepo wakati tunaanza?

  Ndipo nikaamua kurudi katika imani maana kimwili sikupata swali litakalo jumuisha yote nitakayo kuyauliza....Imani yangu inaniuliza swali, Misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini?

  Je misingi ni katiba; kama ndivyo hii ya sasa mbona inaamini katika ujamaa; je tu wajamaa? Na kujitegemea mbona tu tegemezi? Je misingi ni ipi?

  Wanazuoni wanadai kuwa (kama tutakubaliana) misingi ambayo inaweza kuijenga jamii iliyostaarabika na yenye tija basi lazima kuwe na high "SOCIAL CAPITAL" (Nisaidieni kiswahili chake = Uaminifu?)

  Kwakifupi ni kuwa uaminifu/social capital humfanya mfanya biashara akafanya biashara bila matumizi makubwa ya nguvu za sheria; mwalimu akafundisha kwa moyo bila usimamizi wa ziada; dakatari akatibu kwa kutumia nguvu zake zote akili yake yote na moyo wake wote kuokoa maisha ya mgonjwa; mbunge akawasaidia wapiga kura wake kama vile aisaidiavyo familia yake pale nyumbani kwa mke/mume na watoto wake; mwananchi akafuata sheria bila kujali uwepo wa polisi au mahakama na magereza na kila mmoja akawajibika kwa hiari huku akimfikiria mwingine bila kutumia nguvu zozote isipokuwa kulingana na makubaliano ya pamoja kama vile Katiba etc etc

  Ni vipi basi tunaweza kujenga social capital?

  Niwatakie heri ya mwaka ujao wana JF huku tukisaidiana kujibu hili swali tuweze kulisaidia taifa letu kuendelea kuwepo katika ramani ya dunia.
   
 2. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Felister out of repsect kama unaweza nijuza jinsi ya kuweka Pdf file hapa nieleze hili nikuwekee journal inayogusia hii topic au ukiweza ni PM email yako nikutumie uisome kwa wakati wako.
   
 3. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Personal Responsibility and Changing Behaviour: the state of knowledge and its implications for public policy


  Executive Summary
  The public wants government to achieve various goals: a strong economy, better education, security, health and so on. To achieve these, governments employ many tools, including laws, punishments and regulations, taxes and subsidies, the provision of public services, and information and persuasion. Many of these tools are designed to influence changes in public behaviour. In some areas they work well. However, in others their effectiveness is limited. As a result policy-makers have sought out more sophisticated means of building more effective relationships between citizens and government which can influence public behaviour, particularly with a view to increasing personal responsibility in areas like health and welfare, and encouraging greater partnership between users of services and service providers (‘co-production').


  Within the Strategy Unit a number of recent projects have looked at different aspects of this issue, including reviews on alcohol, drugs, correctional services, disability, waste and energy. New insights on behaviour change and personal responsibility are also critically important to other areas of evolving government policy – including public health, welfare reform, pensions and climate change.

  Nearly all public policies rest on assumptions about human behaviour. However, these are rarely made explicit, or tested against the available evidence. This paper seeks to bring together some of the available knowledge in order to stimulate more imaginative thinking about how policies could be designed in the future.

  The introduction reviews the three key factors that have encouraged the growing interest in personal responsibility, and considers how policymakers might think about the division of responsibilities between state and individual:

  1. The achievement of major policy outcomes, requires greater engagement and participation from citizens – ‘governments can't do it alone' – than traditional ways of delivering public services. Higher levels of spending and better-run public services can achieve improved outcomes. But in the long-run improvements depend as much on changes in personal behaviour: for example in health on better diet and more exercise, and in education on children's willingness to learn and parents' willingness to help.

  2. There are strong moral and political arguments for protecting and enhancing personal responsibility. Most of the dominant traditions of social and political thought in the UK value individuals' and communities' ability to take control and act in their own best interests as goods in themselves. Other things being equal, they see it as better for governments to empower citizens as much as possible rather than making decisions on their behalf.

  3. Behaviourally-based interventions can be significantly more cost-effective than traditional service delivery. There is good evidence across a range of policy areas – for example in health, education, crime – of the cost-effectiveness of behavioural interventions (for example a change in diet that avoids a heart attack is better and cheaper than dealing with the consequences of poor diet with heart surgery). This is an issue paper for discussion purposes and does not represent Government policy.


  The second section of the paper (‘Theories of behavioural change') reviews the growing body of knowledge about alternative, and perhaps more subtle, ways in which government might affect personal behaviour. It introduces a number of these different models, which are based on empirical observation of how people really behave in different situations (as opposed to theoretical assumptions about how they might respond to such things as economic incentives). For example, people's choices are strongly influenced by various forms of ‘psychological discounting': future gains may count much less than immediate gains, ‘peak' and ‘variable'experiences may have much larger impacts than constant experiences, and losses can have a much larger impact than similar-sized gains.

  The third section (‘From theory to application') considers how these insights might be applied to the areas of welfare to work, health, crime and education. In a number of these areas, it is argued that the use of conditionality or ‘compacts' already harness some of these psychological influences, such as ‘commitment' and the desire to be‘consistent' with a promise. Further applications at the individual, interpersonal and community level are then considered. One common theme is the potential effectiveness of seeking behavioural change not only through a focus on individual persuasion, but through an ‘ecological approach'. An ecological approach is one that
  focuses on changing the behaviour of significant figures around the individual – such as parents and peers – to make gradual changes to wider social norms. Consideration is given to how government acting as a more effective ‘persuader' can be squared with an agenda of enhanced personal responsibility – helping people to help themselves. The critical role of non-government, voluntary and self-help organisations, and the limits of top-down policies to change behaviour, are highlighted.

  Finally, a number of challenges to the approach are considered. These include: public acceptability; the limits toconditionality, personalisation and cultural sensitivity; the efficacy of interventions; the risk of poorly-designed interventions increasing inequality; and the relationship to collective responsibility. In some cases, the application of alternative approaches might allow government to relax more punitive and rigid regulatory approaches to behaviour change.

  In conclusion, the paper concludes that the efficacy of government policy may be significantly enhanced, and public behaviour positively influenced, by the application of more sophisticated approaches to support individuals and communities in changing behaviours. To be effective and acceptable, such approaches need to be built around co-production and a sense of partnership between state, individuals and communities.

  This is an issue paper for discussion purposes and does not represent Government policy.


  1. Introduction
  Almost all of us have occasionally dropped a piece of litter. At the same time, most of us would prefer to live in clean, litter-free environment. So what should the policyresponse be? A range of options are open. Governments could greatly increase the fines for littering or issuing other forms of punishment....................................................................

  Nimekuwekea the kind of arguments which are discussed in the paper ukitaka kuisoma yote sawa na usipoona umuhimu sawa.
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Juma contena ukipata nafasi naomba unifafanulie zaidi kuhusu hii signature yako.
  "Mwalimu JKN failed us miserably......"
   
 5. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwa sababu he failed us miserably amna policy endelevu wala siasa endelevu kila kitu kwetu kimesimamia alipoacha na kibaya zaidi hatuna viongozi wenye fikra wala uwezo wa kum-challenge mwalimu as a leader.
   
 6. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,808
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  JC:

  Kama hipo online nionyeshe link ya hiyo paper nikainyonye.
   
 7. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kaka

  Ingekuwa online ningeweka link hii niliichukua from library sidhani kama hipo online hila ninayo mimi kama unaitaka ndugu.
   
 8. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,808
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Nitumie kwenye email hii: redcxswq@yahoo.com
   
 9. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hipo njiani kaka kama dakika moja hivi.

  Laterz.
   
 10. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,808
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Thanks, I got it.
   
 11. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Za10

  Tayari ndugu laterz.
   
 12. F

  Felister JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2010
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Thanks JC lakini thid is for public not for me. We weka in sumary what we can do to build our social capital
   
 13. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2010
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Heading imenipeleka mbaaaali!. Nimejisikia kuwa katika nafasi ya Daudi akiyasema maneno haya huku akiwa amezungukwa na majemadari wa majeshi ya Sauli.
   
 14. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Matatizo ni mengi mno uliyoyaorodhesha lakini the core of the problem ni weak economy to support a nation, poor economic decision that lead to inflation without pay rises and poor laws to tackle corruption (a result ni matatizo uliyoweka).

  Huwezi solve yote hayo kwanza bila ya right policies to police the society everyday life attitude and causes and effects of their actions. Ukianza na raisi anaetaka kuizungusha familia yake yote Tanzania nzima kwa mfuko wa walipa kodi na msafara wa watu. Where is the responsiblity of the president, hii ni national phenomenon na si rahisi kusema unaanza wapi kutatua haya matatizo. Tanzanians are not used to the rule of law, positional accountability, leo ndio watu wamejaa fulani ni Phd hata kama jamaa hana mafanikio yoyote pale na watu wale wale wanatoka wizara hii kwenda hile kisa Phd. Kaazi kweli kweli.

  In my opinion the realistic approach is first to get rid of irresponsible leaders or you make the law function before you can begin to implement anything. Pili unaweza anza kuangalia the way behaviour policies are created (hapo unaweza mwambia Za10) akuwekee summary atakuwa keshamaliza soma. Vinginevyo ni hadithi tu especially jinsi uchumi wetu unavyoendeshwa hiki ndio chanzo cha watu kutoridhika na kupeana kwa kujuana its just human nature.
   
 15. T

  Topical JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  JC
  Tatizo siyo poor economy bali poor policies to support weak economy

  Poor policies is the result of weak leaders in all aspect tanesco, TIC, TRA, bandarini, universities

  Weak leaders is the result of nepotism, udini, u-ccm you name it?

  Hint: Nchi zote duniani zilikuwa na poor economies zili struggle kuweka good economic policies and of course suppored by strong political leaders...zika-perfom
   
 16. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Poor policies moja but then what percentage of our current economic policies have been drawn up by our experts and what other percentage comes from the donors recomendation?

  This will give a clear picture of our policies on the other hand since we rely on donors help and recomendations the results are poor economy growth. Not to mention leaders who are not answerable to anybody.
   
 17. T

  Topical JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Policies recommended by donors are meant for donor countries haziwezi kusaidia nchi yeyote..donor/external policies hakuna nchi imeendelea kwa kutumia donors recommendation .hint donors wants you to beg forever si ndio wao wanapata sababu za trip kuja huku kushauri..

  Internal policies (drawn by our experts) not sure of a single policy drawn by our internal experts..it is either influenced, sponsored, initiated by donor countries...
   
 18. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Precisely my point sasa tutaendelea vipi hiwapo hizi policies are designed to give them an exploiting advantage + ufisadi = low pace growth set by donors involvement.

  To make matters worse im told the tax sytem is ridiculous and no ever dares srutinizing gov spending. Sasa hapo kuna maendeleo kweli? na serikali yenyewe kila kukicha ina bail failed private entities au kumalizwa na lawsuits za wawekezaji ambao hawaja perform hata chembe. And no one ever get the suck in the gov, we are doomed.
   
 19. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,808
  Likes Received: 319
  Trophy Points: 180
  Paper nzuri sana. Moja ya point ambayo nimeipenda ni hile ya serikali kutumia devices mbalimbali kubadilisha tabia za watu na kuongeza personal responsibilities.

  Kulikuwa na mjadala mmoja mkubwa hapa ambao ulihusu maendeleo ya huduma za jamii za miaka 70. Huduma hizi zilikuwa financied na wahisani. Lakini watanzania wengi walifikiri na mpaka sasa wanafikiri kuwa ni serikali ya Tanzania.

  Huduma hizi ziliwafanya watanzania kubadilisha tabia zao na kuanza kutegemea serikali kwa kila kitu. Matatizo yanayokuja ni kuwa hiyo misaada ni unsustainable na wahisani wapo kwenye matatizo yao ya kifedha.
   
 20. F

  Felister JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2010
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Why do we allow the donors to draw them up? And why are our leaders not answerable to anybody? Yaani leaders ambao hata hawafiki 1% of the country's population tushindwe kuwawajibisha? Je wao si watanzania ambao ni kaka zetu na dada zetu? Mbona wamekuwa wakibadilika from time to time lakini out put ni ile ile. Je are they not reflecting our society's behaviour?

  We can blame everybody if we do not sit down and reasses where we had gone wrong the status quo will continue.

  Whether good or bad the policies are it all depends on how we operationalize them. If they are just being documented while we practice different things on ground we should not expect miracles. A good policy is that which is implementable atleast the mother of institution Elinor Ostrom agrees on this; it is not how they sound or read good when are in documents.

  Example we have policies on corruption prevention vipi uta i implement hii policy wakati huduma za jamii mbovu na watendaji wachache (mfano nesi mmoja kuhudumia wodi nzima ya watoto let say 12)? Nikianza na law enforcement kama key organ katika ku raise social capital; mahakimu wachache, miundo mbinu duni, mishahara midogo inayotoa incentive ya kutosha mtu kuomba rushwa etc sasa hapo ni policy ndo mbovu au ni kipi? Policy ili iwe nzuri lazima kuwe na act ambayo itawezesha kui operationalize na hiyo act lazima iwe enforced bila kuangalia sura au nafasi ya mtu huku yule anaye fanya enforcement asiwe na sababu ya lazima (Basic needs) kufanya tofauti na anavyotakiwa kufanya. Hii ikitokea in the long run inaondoka from practice na kuwa culture ambayo ndo inayo influence behaviour na hatimaye kuraise social capital.

  So my dear friends hakuna short cut tunalazimika sote kwa pamoja kukataa kuburuzwa let us set our priorities right kwa kuhakikisha tunaamua kuachana na ushabiki na kuingia katika utendaji. Kama Sugu and the cores waliweza kubadili mtazamo wa watanzania katika muziki na kuondokana na kasumba ya kupenda miziki ya nje then hii peke yake inatosha kutuaminisha kwamba tukiamua kama taifa kuacha kuimba nyimbo za ooh viongozi wabovu wakati tunawaweka wenyewe; ooh serikali haisikii wakati tuna nguvu kuizidi serikali; serikali ina nguvu iwapo mtamwacha Felister for example akawa spotted kuwa yeye ndo pekee anaikosoa au kuilazimisha kutenda tofauti. Iwapo kila mtanzania ataamua kuacha unafiki na kuiwajibisha, serikali au kiongozi yeyote hana hizo nguvu za kuilazimisha jamii ifanye isicho amini kwasababu iliwekwa na watu unless kama ni ya kijeshi na hata kama ikiwa hivyo bado haiwezi zima nguvu ya uma.
   
Loading...