Shedafa
JF-Expert Member
- May 21, 2008
- 802
- 173
Why do we allow the donors to draw them up? And why are our leaders not answerable to anybody? Yaani leaders ambao hata hawafiki 1% of the country's population tushindwe kuwawajibisha? Je wao si watanzania ambao ni kaka zetu na dada zetu? Mbona wamekuwa wakibadilika from time to time lakini out put ni ile ile. Je are they not reflecting our society's behaviour?
We can blame everybody if we do not sit down and reasses where we had gone wrong the status quo will continue.
Whether good or bad the policies are it all depends on how we operationalize them. If they are just being documented while we practice different things on ground we should not expect miracles. A good policy is that which is implementable atleast the mother of institution Elinor Ostrom agrees on this; it is not how they sound or read good when are in documents.
Example we have policies on corruption prevention vipi uta i implement hii policy wakati huduma za jamii mbovu na watendaji wachache (mfano nesi mmoja kuhudumia wodi nzima ya watoto let say 12)? Nikianza na law enforcement kama key organ katika ku raise social capital; mahakimu wachache, miundo mbinu duni, mishahara midogo inayotoa incentive ya kutosha mtu kuomba rushwa etc sasa hapo ni policy ndo mbovu au ni kipi? Policy ili iwe nzuri lazima kuwe na act ambayo itawezesha kui operationalize na hiyo act lazima iwe enforced bila kuangalia sura au nafasi ya mtu huku yule anaye fanya enforcement asiwe na sababu ya lazima (Basic needs) kufanya tofauti na anavyotakiwa kufanya. Hii ikitokea in the long run inaondoka from practice na kuwa culture ambayo ndo inayo influence behaviour na hatimaye kuraise social capital.
So my dear friends hakuna short cut tunalazimika sote kwa pamoja kukataa kuburuzwa let us set our priorities right kwa kuhakikisha tunaamua kuachana na ushabiki na kuingia katika utendaji. Kama Sugu and the cores waliweza kubadili mtazamo wa watanzania katika muziki na kuondokana na kasumba ya kupenda miziki ya nje then hii peke yake inatosha kutuaminisha kwamba tukiamua kama taifa kuacha kuimba nyimbo za ooh viongozi wabovu wakati tunawaweka wenyewe; ooh serikali haisikii wakati tuna nguvu kuizidi serikali; serikali ina nguvu iwapo mtamwacha Felister for example akawa spotted kuwa yeye ndo pekee anaikosoa au kuilazimisha kutenda tofauti. Iwapo kila mtanzania ataamua kuacha unafiki na kuiwajibisha, serikali au kiongozi yeyote hana hizo nguvu za kuilazimisha jamii ifanye isicho amini kwasababu iliwekwa na watu unless kama ni ya kijeshi na hata kama ikiwa hivyo bado haiwezi zima nguvu ya uma.
Nakubaliana na wewe hasa hapa kwenye red, but how?