ungesemwa makanisa yatozwe kodii..
waislamu mtuachee,,ni sheikh gani anaeishi kwa anasa kwa kutegemea sadaqa za waumini?!!!... labda masheikh wa bakwata...ila hali ya wasomi wa kiislamu ni mbaya MNO!!!
wanaishi maisha ya kubangaiza sana,
ANASA ZINAFANYWA NA WACHUNGAJI NA MANABII,,,HAO NDO WATOZWE KODiii...
sheikh gani mshamuona na selfie kwny ndege,au anasukuma ndinga ya maana?!!!...waislamu jamn mtuache!
hali zetu ni ngumu mno jamn!
Huu wivu sio wa nchi hii.ungesemwa makanisa yatozwe kodii..

tunatoa sadaqa kama mnavyotoa nyie ila sasa misikiti mingi hali za uchumi ni mbayaa..yaan hatuna sadaqa za kufanya masheikh waishi maisha ya ki-anasa.naomba nikiri,sijui mfumo wenu wa sadaka,ila kama mnatoa then na nyie mtozwe
Ila pesa za kunywea bia na kula kitimoto zipo za kutosha tu.tunatoa sadaqa kama mnavyotoa nyie ila sasa misikiti mingi hali za uchumi ni mbayaa..yaan hatuna sadaqa za kufanya masheikh waishi maisha ya ki-anasa.
tunatoa sadaqa kama mnavyotoa nyie ila sasa misikiti mingi hali za uchumi ni mbayaa..yaan hatuna sadaqa za kufanya masheikh waishi maisha ya ki-anasa.
Ukitoa huduma au ukiuza bidhaa utalipa kodi. Huduma za kiroho unazipimaje ili uweze kukadiria kodi?kichwa cha habari kinajieleza,
Sadaka, wanazopata ni nyingi mno,
hamna makato yoyote,
nawasifu,kwa kuisaidia jamii,kujenga shule,n.k
lakini bado nilitegemea wafanye mengi kuisaidia jamii,
yaani watu wanakula mpaka wanajisahau,
na wengine ukiwaona,hutaamini kama ni viongozi wa dini,
yaani wanafanana kabisaaaa na watu wa 'mataifa'ππ,
wakianza kukatwa,wataheshimu hela ya watu.
Ma great Thinkers hawapo tena. Mada za kijinga ndio zimebambainabore enheee?lol
Ukitoa huduma au ukiuza bidhaa utalipa kodi. Huduma za kiroho unazipimaje ili uweze kukadiria kodi?
kichwa cha habari kinajieleza,