Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,419
- 8,358
Nimesikia kuwa kuna watu wanatengeneza mishumaa ambayo ina uwezo wa kufukuza mbu. Naomba mwenye taarifa zozote kuhusiana na suala hilo anijuze. Ningependa kuinunua ili nijaribu, je, inapatikana wapi?