Mishono haibagui, mnene wala mwembamba

Namfahamu huyu Dada ni wifi angu huyu.
 
Hahahahaha!!!!
Nawe huwa wavitupia hivi vitu mara moja moja??
Niko nachukua notisi. Endeleeni tu...So far ni:

(1) Tumbo flat

(2) Kifua (sijui kinatakiwa kiweje)

(3) Mikono (sijui inatakiwa iweje)

(4)

(5)

(6)

(7)

(8)

(9)

(10)
 
Niko nachukua notisi. Endeleeni tu...So far ni:

(1) Tumbo flat

(2) Kifua (sijui kinatakiwa kiweje)

(3) Mikono (sijui inatakiwa iweje)

(4)

(5)

(6)

(7)

(8)

(9)

(10)
(03)Mascular
(04) Mwenye urefu wake wa wastani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…