Misheni town tunashukuru. Tunataka ndoa sio uzinzi na matajiri

Kuna uongo mwingine wanausema wanawake me sijawahi kuuamini na sitakuja kuuamini. Hakuna mwanamke anapenda hivihivi,wanawake wote wanapenda hela km huna hela kuna vitu vya msingi wanazingatia. Anaweza kukupenda kwa sababu aidha umesoma na una mipango inayomridhisha. Hapo atakaa akiamini kuna siku ama utaajiriwa au utajiajiri. Km hujasoma na huna hela,mwanamke anamjua mwanaume mwenye malengo na uwezo wa kutunza fedha hata km ni ndogo,mwenye kujituma kutafuta Ankara nk. Hapo atakaa akiamini mambo yatakuja kuwanyookea tu. Mwanamke km unamuoa lkn huna bidii wala maono,hata umpige p...u*****m******b vp atakutosa tu!! Ile shughuli ya kitandani inanoga watu mkiwa mmeshiba...!!! Zamaradi mpaka mwezi wa 10 mwakani,atakuwa amesharudi kwa Ruge bila kukosa,labda mmoja wao afe. Na miezi 3 mpaka 6 ijayo,ruge na zama wataendelea kuivunja amri ya 6 ya Mungu bila tatizo lolote! Mark my words!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom