Mishangazi imepokonywa soko kweli?

Mishangazi imepokonywa soko kweli?

Wakati vitoto vya afu 2 vikineng'eneka na wazee. Basi mashangazi wananeng'eneka na rika la hao wa afu 2 ambao ni wakiume.

Hukupaswa kuangalia soko lipo vipi bali ulipaswa kuangalia ni kundi gani linalotoa mlio.

Ukio ukimya umetawala ujue kuna unyama mwingi unaendelea sirini. Nchi ngumu sana hii
 
Habari za jioni.

Naona kwenye mitandao mingi kunatrend suala la vitoto vya 2000 kuwapokonya soko waliowazaa.

Ni kweli suala hili au linatrendishwa tu.Waliofanya utafiti tupeni ushuhuda mimi huku nilipo naona kama sio kweli.
Kapicha mkuu
 
Back
Top Bottom