Mishahara ya walimu mwezi Agosti imeshatoka?

Mishahara ya walimu mwezi Agosti imeshatoka?

mfirigisi

Senior Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
115
Reaction score
50
hivi mishahara imetoka? utaratibu wa kutoka hazina moja kwa moja bado unaendelea...tujulishane
 
hivi mishahara imetoka? utaratibu wa kutoka hadhina moja kwa moja bado unaendelea...tujulishane


Nashauri urekebishe neno hadhina lisomeke hazina ili kuleta maana halisi
 
Kitendawili.. Wa kwanza kuchagua ccm na wa kwanza kutegemea mishahara 100%.
 
teh teh bosi alinikuta nimelala lindoni kaniambia mwezi huu hamna mshahara kabisa.
 
Back
Top Bottom