eti mshahara bei gani? Kamwe kwa aina hii ya walimu watoto hawataambulia chochote, sasa nimeanza kupata picha yule mkuu wa wilaya kwanini aliwacharaza viboko walimu, kumbe tunao wa aina hii!!!

mbona mna wadhihaki walimu kana kwamba nyie hamkufundishwa na walimu! mtu kaulizia mishahara kwa nia nzuri lakini watu tunajifanya "too much talk_tive"
Watanzania tubadilike.
ogopa sana neno KU-UPGRADE, kama mwanafunzi akifel anafaulshwa what do u expect? kwa mantk hiyo umuhm wa mwalm unaonekana mdogo sn. na usishangae kuona wasiojua kusoma wako vyuo vikuu kwa siku za uson
Ndugu kinene mishahara ya wafanyakaz wa umma wengi itapanda kwa asilimia 29 had 30,[walimu pia]so kokotoa hizo percent kwa current basic salaries utapata majawabu.