Ngoja nianze kulia kama dakika mbili hivi. uwi, uwi, eeeh, eeeeeeeeeeeh. uuuuuh.
Inauma sana mwalimu wa sec. mwenye Diploma anakula take home 170,000/= kwa mwezi hapo ana mke na watoto na ndugu wanamtegemea.
i see!another big point here!Jamani kweli serikali yetu haina priorities! Mahospitali hakuna dawa na watu wa chini wanazidi kupigika wao ndio kwaaaanza wanagawana jasho letu!
Mishahara ya wabunge,mawaziri na majaji imepandisha huku wa spika wa bunge ukipanda mara dufu.
Kwa kifupi tu;
Spika na Jaji mkuu Tshs 2,760,000/= mpaka 4,850,000/=
Naibu spika Tshs 2,080,000/= mpaka 2,172,000/=
Mbunge Tshs 1,840,000/= Mpaka 1,921,000/=
jaji wa mahaka kuu tshs 2,160,000/= mpaka 3,645,000/=
jaji Mahakam ya rufaa Tshs 2,310,000 mpaka 4,250,000/=
Wakuu ninchoomba kuelewesha inamaana kwa kuwa spika ni mbunge kwa hiyo anakula na mishahara mingine ya ubunge au?
Kwa hali hii kweli tutapona?
Source:Mwananchi news paper la leo
Sioni mantiki ya post hii kutolewa na gazeti la mwananchi kwani gazeti hili ni moja ya vyombo vya habari visibyolipa mishahara ya wafanyakazi wao.
ebu fikiria gazeti linaingiza mapato ya shj milini 11 kwa siku kisha mwandishi wao analipwa sh 60,000 kwa mwezi kisha wanaandika habari kama hiyo ufisadi na matumizi mabaya ya fedha ni kwa serikali tu?