Waziri Bashe amkabidhi Spika Tulia orodha ya Wabunge, Mawaziri, Wastaafu na Watumishi wa Serikali wanaodaiwa na Mfuko wa Pembejeo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,987
142,006
Waziri wa kilimo mh Bashe amemkabidhi Spika Tulia orodha ya Wabunge, Mawaziri, Wastaafu na Watumishi wa Serikali wanaodaiwa na Mfuko wa Pembejeo

Hatua hiyo inafuatia ombi la mbunge Taletale aliyetaka Wadaiwa hao Sugu watajwe hadharani

Chanzo: TBC
 
Bashe aache ujinga na usanii kwani hajui polisi na mahakama zilipo?
 
Back
Top Bottom