Mishahara ya wabunge itathminiwe upya

Mishahara ya wabunge itathminiwe upya

Mimi naona ipunguzwe ya Walimu sababu hawana akili
Tengua kauli, nani kakufikisha hapo mpaka unapata jeuri ya kuandika maneno kama haya kwa kujua kwako kusoma na kuandika mpaka ukajua na jamii forum pasipo mwalimu ungejua haya?? Usikurupuke jirekebishe
 
Kwanza niseme mimi sina kadi ya chama chochote cha siasa. Ila ni mkereketwa wa bendera ya Tanzania.

Hakuna kitu kinanikera kama tabia ya wabunge kusimamia ya vyama vyao na kusahau ya taifa. Kuna wabunge wazuri sana wa kupinga ufisadi. Lakini hutawasikia wakimzogoa fisadi kama yuko kwenye chama chao.

Kwenye hili la mishahara ni kama wote kwa mpigo bila ya kujali vyama vyao wameamua kulikalia kimya. Katika nchi ambayo polisi mwenye shahada ya sheria analipwa laki sita kwa mwezi hesabu ya kuwalipa wabunge zaidi ya milioni nane kwa mwezi imetoka wapi?

Kuna watumishi wa serikali wako kazini zaidi ya miaka thelathini mishahara yao haijafifikia milioni. Na mafao yao wakistaafu yanaweza yasifikie huo mshahara wa mwaka wa mbunge mmoja.

Wengi wa watanzania wanateseka kwa kukosa bima. Nimeshuhudia waliorudi nyumbani kusubiri kufa kwa kukosa bima. Wabunge wao wana utaratibu wa kutibiwa nje kwa fedha za wavuja jasho.

Hivi kweli utaweza kuwakilisha wenye shida iwapo wewe hujui shida?

Wako wapi wale wabunge wasemaji wazuri hawaoni kuwa mishahara yao imekaa kifisadi? Na bado wanapewa posho za vikao. Hii haijatulia ni ya kukemewa vikali na wakereketwa wa bendera ya Tanzania.

Mungu ibariki Tanzania
Tanzania hatuna na hatujawahi kuwa na mishahara mikubwa. Tatizo lililopo ni uzalishaji mdogo. Tuna raslimali nyingi sana ambazo tukizitumia angalau kwa ailimia moja,twaweza kuwa sehemu nzuri sana. Mfano, 1.Tanzanite iliyopo kwetu, ikitumika kwa asilimia moja kwa ukanda wake kuanzia mpakani mwa kenya(Arusha) hadi Tunduma,angalau kwa asilimia moja,kipato cha wahusika kitapanda sana.
2.Ukanda wa Emerald,Tsavolite,Ruby,Alexandrite na garnets wa (Mara,Arusha) hadi Songea ukitumika vizuri hata kwa asilimia moja,kutakuwa na kipato kizuri
3.Ukanda wa Almasi wa (Mwanza na Mara ) hadi (Mbeya na Songea ) ukitumika vizuri hata kwa asilimia moja ,kutakuwa na kipato kizuri.
3. Ukanda wa Emerals na chrome tourmaline wa Kagera hadi Rukwa na katavi ,ukitumika vizuri hata kwa asilimia moja tu,kipato kitakuwa kizuri.
4. Ukanda wa dhahabu wa (Kagera na kigoma) hadi (Mara,Arusha,Moshi na Tanga) ukitumiwa vizuri hata asilimia moja,kipato kitakuwa kizuri.
5.Ukanda wa dhahabu wa (Rukwa na Mbeya ) (hadi Pwani na Dar es Salaam ) ukitumika vizuri hata kwa asilimia moja,kipato kitakuwa kizuri.
6.Ukanda wa Dhahabu wa Songea hadi mtwala ukitumika vizuri angalau kwa asilimia moja,kipato kitakuwa kizuri.
Vipato kwa watu vikiwa vizuri,serikali itakusanya kodi ya kutosha na mishahara itapanda.
Kwa mtazamo wangu,tatizo letu kuu ni elimu ya jinsi gani rasilimali hizi zivunwe na kuuzwa. Taifa likiamua kuwekeza katika elimu kwa madini na vitu vingine,kwa wananchi,naamini tutafanikiwa.
 
Mkuu hivi ndivyo watu wanavyofeli mitihani ya open book. Umejibu swali jingine kabisa.
 
Sawa,lakini inaonyesha wewe ulichooandika hujui chanzo chake ni nini pia. Lakini pia inategemeana na mtazamo wako,kama wewe waona na kuzungumzia matokea na si kujikita kujua chanzo cha hayo matokeo,basi majibu yako ni sahihi.
 
Sizungumzii jinsi ya kuinua vipato vya watanzania. Nazungumzia uwiano wa mishahara ya wabunge na mishahara ya wafanyakazi wa Tanzania hasa watumishi wa serikali.
 
Kwanza niseme mimi sina kadi ya chama chochote cha siasa. Ila ni mkereketwa wa bendera ya Tanzania.

Hakuna kitu kinanikera kama tabia ya wabunge kusimamia ya vyama vyao na kusahau ya taifa. Kuna wabunge wazuri sana wa kupinga ufisadi. Lakini hutawasikia wakimzogoa fisadi kama yuko kwenye chama chao.

Kwenye hili la mishahara ni kama wote kwa mpigo bila ya kujali vyama vyao wameamua kulikalia kimya. Katika nchi ambayo polisi mwenye shahada ya sheria analipwa laki sita kwa mwezi hesabu ya kuwalipa wabunge zaidi ya milioni nane kwa mwezi imetoka wapi?

Kuna watumishi wa serikali wako kazini zaidi ya miaka thelathini mishahara yao haijafifikia milioni. Na mafao yao wakistaafu yanaweza yasifikie huo mshahara wa mwaka wa mbunge mmoja.

Wengi wa watanzania wanateseka kwa kukosa bima. Nimeshuhudia waliorudi nyumbani kusubiri kufa kwa kukosa bima. Wabunge wao wana utaratibu wa kutibiwa nje kwa fedha za wavuja jasho.

Hivi kweli utaweza kuwakilisha wenye shida iwapo wewe hujui shida?

Wako wapi wale wabunge wasemaji wazuri hawaoni kuwa mishahara yao imekaa kifisadi? Na bado wanapewa posho za vikao. Hii haijatulia ni ya kukemewa vikali na wakereketwa wa bendera ya Tanzania.

Mungu ibariki Tanzania

Kwani mbunge ni mwanasiasa au ni mfanyakazi?!!

Tangu lini Kiongozi akawa sawa kimaslahi na mtu wa kawaida?!!

Kama ulisoma boarding miaka hiyo hukumbuki kuwa viranja wa shule ndio waliokuwa wanakula vipande vingi vya nyama kuliko wanafunzi ambao sio viongozi?
 
Mwalimu ndy hana kitu kabisa ndy kwanza wanasema walimu wanalipwa ela nyingi uku tukinyimwa madaraja ajira ya 2012 hii nchi atujapata mkombozi
 
hili jambo tulishawahi kulijadili humu. moderators futa huu Uzi.
 
Tanzania hatuna na hatujawahi kuwa na mishahara mikubwa. Tatizo lililopo ni uzalishaji mdogo. Tuna raslimali nyingi sana ambazo tukizitumia angalau kwa ailimia moja,twaweza kuwa sehemu nzuri sana. Mfano, 1.Tanzanite iliyopo kwetu, ikitumika kwa asilimia moja kwa ukanda wake kuanzia mpakani mwa kenya(Arusha) hadi Tunduma,angalau kwa asilimia moja,kipato cha wahusika kitapanda sana.
2.Ukanda wa Emerald,Tsavolite,Ruby,Alexandrite na garnets wa (Mara,Arusha) hadi Songea ukitumika vizuri hata kwa asilimia moja,kutakuwa na kipato kizuri
3.Ukanda wa Almasi wa (Mwanza na Mara ) hadi (Mbeya na Songea ) ukitumika vizuri hata kwa asilimia moja ,kutakuwa na kipato kizuri.
3. Ukanda wa Emerals na chrome tourmaline wa Kagera hadi Rukwa na katavi ,ukitumika vizuri hata kwa asilimia moja tu,kipato kitakuwa kizuri.
4. Ukanda wa dhahabu wa (Kagera na kigoma) hadi (Mara,Arusha,Moshi na Tanga) ukitumiwa vizuri hata asilimia moja,kipato kitakuwa kizuri.
5.Ukanda wa dhahabu wa (Rukwa na Mbeya ) (hadi Pwani na Dar es Salaam ) ukitumika vizuri hata kwa asilimia moja,kipato kitakuwa kizuri.
6.Ukanda wa Dhahabu wa Songea hadi mtwala ukitumika vizuri angalau kwa asilimia moja,kipato kitakuwa kizuri.
Vipato kwa watu vikiwa vizuri,serikali itakusanya kodi ya kutosha na mishahara itapanda.
Kwa mtazamo wangu,tatizo letu kuu ni elimu ya jinsi gani rasilimali hizi zivunwe na kuuzwa. Taifa likiamua kuwekeza katika elimu kwa madini na vitu vingine,kwa wananchi,naamini tutafanikiwa.
Huu mchanganuo Baba jesca aliwaza yote hayo kabla ya kuingia ikulu,Hamad,alipoanza kazi tuu akaanza kusahau kimojakimoja na kuwa mpiga debe wa kuhamisha wanasiasa kwa kuwalipa,kwa sasa kadondokea kutumbua,as a result anakoelekea ni sayari ya wafu,uchumi umesemwa na Dr. Fake(mpango) jana ni zaidi ya asilimia moja na point umeshuka,na huyo fake mpango eti ndo mshauri wa Rais asie hata na genge pale mlimani city lakini anasema ishi nje ya box.Damn
 
MIMI NAFIKIRI BADALA YA KUPUNGUZWA, IONGEZWE MISHAHARA YA WATUMISH WENGNE BADALA YA PHILOSOPHY YA KUTENGENEZA MASHETAN TUWATENGENEZE MALAIKA WAPYA
 
Back
Top Bottom