Mishahara ya Viongozi Tanzania

amanij

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
353
198
Mishahara wanao pata maraisi nchi za Afrika Tanzania ni ya Nne
  1. Paul Biya – Cameroon $601,000
  2. King Mohammed VI – Morocco $480,000
  3. Jacob Zuma – South Africa $272,000
  4. Jakaya Kikwete – Tanzania $192,000
  5. Abdel Aziz Bouteflika – Algeria $168,000
  6. Teodoro Nguema - Equatorial Guinea $150,000 (Estimate)
  7. Uhuru Kenyatta – Kenya $132,000
  8. Hassan Sheikh Mohamoud – Somalia $120,000
  9. Ikililou Dhoinine – Comoros $115,000
  10. Denis Sassou Nguesso – Congo Republic $110,000
10 Highest paid – Relative to GNP

  1. Paul Biya (Cameroon - 229 times average income)
  2. Ellen Johnson Sirleaf (Liberia – 114x)
  3. Jakaya Kikwete (Tanzania – 109x)
  4. Peter Mutharika (Malawi – 100x)
  5. Joseph Kabila (DR Congo – 77x)
  6. Ikililou Dhoinine (Comoros – 74x)
  7. Robert Mugabe (Zimbabwe – 69x)
  8. King Mohammed VI (Morocco – 68x)
  9. Paul Kagame (Rwanda – 59x)
  10. Uhuru Kenyatta (Kenya – 59x)

Katika tafuta tafuta yangu nilipata hii kwa wabunge Tanzania

Basic salary sh.6,000,000
Entertainment allowance sh.1,000,000
House allowance sh.1,250, 000
Car maintenance allowance sh.3,000,000
Gym membership sh.60,000
Vehicle fixed cost allowance. Sh.3,000,000
Committee meeting allowance sh.100,000
Constituency allowance sh.900,000
A grand total amount of shillings 16,000,000 million which is equivalent to $14,118

Inaweza kuwa sikweli basi aliye kua na data sahihi kwa Tanzania atuwekee.
Tuna taka kujua Kwa nini watu wanagombana na kuwekeana chuki ni mapesa tuu au utajiri au nini?
 
Ikulu ya JK imekanusha vikali taarifa kuwa Rais Kikwete anashika nafasi ya tano barani Afrika kwa kupokea mshahara mnomo miongoni mwa marais.

Taarifa ya African Review imenukuliwa leo na Gazeti la Mwananchi kuwa Rais kikwete anashika nafasi ya tano kwa kupokea mshahara mnono wa dola 192,000 kwa mwaka nyuma ya Rais Zuma wa SA.

Ikulu bila kutaja mshahara halisi wa JK kwa mwaka imesema Mwananchi ni waongo na wazandiki na wazushi wenye nia ovu kwa kuandika uongo.

Ikulu imewataka Mwananchi kuandika ukweli lakini IKulu pia katika taarifa yake haijasema ukweli wa mshahara wa RAIS ni kiasi gani ili kuondoa sintofahamu hiyo.

Kakke said:

Gazeti la Mwananchi la Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, ? Marais watano wanaotajwa kuongoza kwa mishahara minono barani Afrika ni hawa hapa?.

Katika habari hiyo ambayo gazeti hilo linadai chanzo chake ni ? uchambuzi wa mtandao wa African Review? inadaiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, anashilikia nafasi ya tano miongoni mwa viongozi 38 wa nchi za Afrika wanaolipwa mshahara mnono zaidi.

Gazeti hilo linadai kuwa Rais Kikwete analipwa Dola za Marekani 192,000 kwa mwaka, ikiwa ni malipo ya Dola za Marekani 16,000 kwa mwezi.

Habari hizi siyo za kweli. Ni uongo na uzandiki. Ni uzushi mtupu na ni uzushi wa hatari.

Mshahara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwezi ama kwa mwaka haufikii na hata wala kukaribia kabisa kiwango kinachotajwa na Gazeti la Mwananchi.

Tangu Uhuru, mwaka 1961, Rais wa Tanganyika na baadaye tangu mwaka 1964 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekuwa miongoni mwa viongozi wanaolipwa mishahara ya chini kabisa duniani.

Mshahara wa Rais wa Tanzania kwa mwezi ni wa chini kiasi cha kwamba mshahara wake unazidiwa, tena kwa mbali, na mishahara wanayolipwa baadhi ya watendaji wakuu wa baadhi ya taasisi za umma nchini.

Aidha, ni jambo la kushangaza kwamba Gazeti la Mwananchi, linalochapishwa hapa nchini, linaweza kupata kiasi cha uongo anacholipwa Rais wa Tanzania katika mitandao ya nje badala ya kuuliza rasmi na kupewa majibu sahihi.

Kwa kujiingiza katika uzushi wa kupindua kiasi hiki, Gazeti la Mwananchi haliwezi kuwa na nia nyingine yoyote isipokuwa nia ya kuwachochea wananchi na kuwajengea chuki dhidi ya Serikali yao na Kiongozi wao Mkuu.

Ni matarajio yetu, kuwa Gazeti la Mwananchi litafanya jitihada za makusudi, kama taaluma ya uandishi wa habari inavyoelekeza, kutafuta usahihi wa jambo hili na kuwaambia Watanzania ukweli.

Imetolewa na;

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu Dar es Salaam.
27 Julai, 2015
Source:
Ikulu yakanusha Mshahara wa Rais Kikwete kufika dola 192,000
 
DUhhhhhhhhhhhhh, afazari umemsaidia. Mijitu mingine kwa uongo bwana, AIBU KWENU.
 
Tunaelewa walikanusha hao Ikulu ila kwenye kanusho lao hawakusema au kutoa evidence kuonyesha Rais analipwa kiasi gani.. Kutokana na aina ya utetezi wa Ikulu inaonyesha kilichosemwa na Mwananchi ni cha kweli au kinakaribiana na ukweli kwa 80-95%
 
Kabla hujataka kujua mwenzio analipwa KIASI GANI PIGA PICHA YA SALARY SLIP YAKO WEKA HAPA ILI TUJUE KWANZA WEWE UNALIPWA KIASI GANI HALAFU NJOO UFUATILIE NA MISHAHARA YA WENZIO.
 
Tuwekee Salary Slip yako kwanza, ndo tuanze kujadili za wengine.
 
Kabla hujataka kujua mwenzio analipwa KIASI GANI PIGA PICHA YA SALARY SLIP YAKO WEKA HAPA ILI TUJUE KWANZA WEWE UNALIPWA KIASI GANI HALAFU NJOO UFUATILIE NA MISHAHARA YA WENZIO.
Hilo ndo tatizo la watanzania. Hamtaki viongozi wachunguzwe
 
Mtu kulipwa mshahara kwa kufanya kazi ni kutetea uozo.Mwogopeni Mung basi.
Mungu ndo mdudu gani? Mshahara uendane na kazi. Sio kujipangia mihela wakati kuna watu wanaishi kwa shida. Kinachozungumziwa ni uzalendo
 
Kwanini unasma ni mwingi wakati huufahamu na mwingi ni kiasi gani????
 
Ifikie wakati serikali iwe transparent kwa kuweka mishahara ya executives including the president. Wao ni waajiriwa wa wananchi, we deserve to know....

Since 2001, the president has earned a $400,000 annual salary, along with a $50,000 annual expense account, a $100,000 nontaxable travel account, and $19,000 for entertainment. The most recent raise in salary was approved by Congress and President Bill Clinton in 1999 and went into effect in 2001.

11c59db5233d2ce312e1248f799f3eab.jpg
 
Ikulu ya JK imekanusha vikali taarifa kuwa Rais Kikwete anashika nafasi ya tano barani Afrika kwa kupokea mshahara mnomo miongoni mwa marais.

Taarifa ya African Review imenukuliwa leo na Gazeti la Mwananchi kuwa Rais kikwete anashika nafasi ya tano kwa kupokea mshahara mnono wa dola 192,000 kwa mwaka nyuma ya Rais Zuma wa SA.

Ikulu bila kutaja mshahara halisi wa JK kwa mwaka imesema Mwananchi ni waongo na wazandiki na wazushi wenye nia ovu kwa kuandika uongo.

Ikulu imewataka Mwananchi kuandika ukweli lakini IKulu pia katika taarifa yake haijasema ukweli wa mshahara wa RAIS ni kiasi gani ili kuondoa sintofahamu hiyo.

Kakke said:

Gazeti la Mwananchi la Jumatatu, Julai 27, 2015, kwenye ukurasa wake wa 26 limechapisha habari yenye kichwa cha habari, ? Marais watano wanaotajwa kuongoza kwa mishahara minono barani Afrika ni hawa hapa?.

Katika habari hiyo ambayo gazeti hilo linadai chanzo chake ni ? uchambuzi wa mtandao wa African Review? inadaiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, anashilikia nafasi ya tano miongoni mwa viongozi 38 wa nchi za Afrika wanaolipwa mshahara mnono zaidi.

Gazeti hilo linadai kuwa Rais Kikwete analipwa Dola za Marekani 192,000 kwa mwaka, ikiwa ni malipo ya Dola za Marekani 16,000 kwa mwezi.

Habari hizi siyo za kweli. Ni uongo na uzandiki. Ni uzushi mtupu na ni uzushi wa hatari.

Mshahara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwezi ama kwa mwaka haufikii na hata wala kukaribia kabisa kiwango kinachotajwa na Gazeti la Mwananchi.

Tangu Uhuru, mwaka 1961, Rais wa Tanganyika na baadaye tangu mwaka 1964 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekuwa miongoni mwa viongozi wanaolipwa mishahara ya chini kabisa duniani.

Mshahara wa Rais wa Tanzania kwa mwezi ni wa chini kiasi cha kwamba mshahara wake unazidiwa, tena kwa mbali, na mishahara wanayolipwa baadhi ya watendaji wakuu wa baadhi ya taasisi za umma nchini.

Aidha, ni jambo la kushangaza kwamba Gazeti la Mwananchi, linalochapishwa hapa nchini, linaweza kupata kiasi cha uongo anacholipwa Rais wa Tanzania katika mitandao ya nje badala ya kuuliza rasmi na kupewa majibu sahihi.

Kwa kujiingiza katika uzushi wa kupindua kiasi hiki, Gazeti la Mwananchi haliwezi kuwa na nia nyingine yoyote isipokuwa nia ya kuwachochea wananchi na kuwajengea chuki dhidi ya Serikali yao na Kiongozi wao Mkuu.

Ni matarajio yetu, kuwa Gazeti la Mwananchi litafanya jitihada za makusudi, kama taaluma ya uandishi wa habari inavyoelekeza, kutafuta usahihi wa jambo hili na kuwaambia Watanzania ukweli.

Imetolewa na;

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu Dar es Salaam.
27 Julai, 2015
Source:
Ikulu yakanusha Mshahara wa Rais Kikwete kufika dola 192,000
Kusema tu haufiki wala kukaribia huo uliosemwa haitoshi inabidi mtoe takwimu sahihi kuwa anapata shilingi ngapi? Kwanini hamsemi kiasi anachopata pata badala yake mnakanusha tu? Hamweleweki!
 
Ifikie wakati serikali iwe transparent kwa kuweka mishahara ya executives including the president. Wao ni waajiriwa wa wananchi, we deserve to know....

Since 2001, the president has earned a $400,000 annual salary, along with a $50,000 annual expense account, a $100,000 nontaxable travel account, and $19,000 for entertainment. The most recent raise in salary was approved by Congress and President Bill Clinton in 1999 and went into effect in 2001.

11c59db5233d2ce312e1248f799f3eab.jpg
Hii hapa ni ya Canada kwa mwaka:
Title Total Salary including all allowance
Member of Parliament $167,400
Prime Minister* $334,800
Speaker* $247,500
Leader of the Opposition* $247,500
Cabinet Minister* $247,500
Minister of State $227,400
Leaders of Other Parties $224,200
Government Whip $197,400
Opposition Whip $197,400
Other Party Whips $179,100
Parliamentary Secretaries $184,000
Chair of Standing Committee $179,100
Caucus Chair - Government $179,100
Caucus Chair - Official Opposition $179,100
Caucus Chairs - Other Parties $173,300
 
Back
Top Bottom