Samahani mkuu nikurekebishe mwenye masters ni assistant lecturer na siyo lecturer PhD holders ndo malecturers
Teh.Sasa hivi tumelala,tutakujibu kesho baada ya kupekua makabrasha
ukidaiwa na bodi unabaki na ngapi?Milioni 1 na laki 8 gross salary, take home kama hudaiwi na loans board ni kama 1.2m. take it from me
Mshahara anaoanza nao T.A. sio 1.8;Mshahara ni 1.8 gross Kwa tutorial assistant anayeanza kazi. Makato ni kama laki 6 hapo HESLB excluded. Ukiijumuisha makato yanafika around laki 9
Ninaposema around namaanisha huenda ni pungufu au juu kidogo
Tutorial Assistant Ni mkufunzi msaidizi;Nisaidie:
• Lecturer ni Mhadhiri;
• Assistant Lecturer ni Mhadhiri Msaidizi, na je;
• Tutorial Assistant ni nani (kwa Kiswahili)?
Ndo utusaidie hiyo basic tuijue mkuukupitia hii post na nyingne nyingi,nimejua tu kuwa si kila jibu la JF member Ni kweli,wengi wanajibu mambo wasioyajua,mfano mtu anasema "T.A. Ni kazi inayokufanya utegemee mshahara tu" huyu ni muongo kabisa maana academicians wako free kabisa na Kama Ni mtu wa kazi nyingi uko huru kufanya shughuli zako ilmradi uwasilishe matokeo ya wanafunzi bila malalamiko,kingine mshahara wa T.A. wa kuanzia sio 1.8M,ni chini kidogo ya hapo;
After makato?????Kuna kimada wangu ameajiriwa juzi juzi, analipwa 1.6 kabla ya makato
Punguza povu aisee! Kusema kazi inategemea mshahara sio kwamba huna uwezo wa kufanya shughuli zako binafsi ukaongeza kipato. Nilimaanisha hakuna fedha significant unayotegemea kutoka kazini tofauti na hiyo. By the way nilishawahi kuwepo kwenye cadre hiyo lakini binafsi niliona hailipi nikachomokea kwinginekupitia hii post na nyingne nyingi,nimejua tu kuwa si kila jibu la JF member Ni kweli,wengi wanajibu mambo wasioyajua,mfano mtu anasema "T.A. Ni kazi inayokufanya utegemee mshahara tu" huyu ni muongo kabisa maana academicians wako free kabisa na Kama Ni mtu wa kazi nyingi uko huru kufanya shughuli zako ilmradi uwasilishe matokeo ya wanafunzi bila malalamiko,kingine mshahara wa T.A. wa kuanzia sio 1.8M,ni chini kidogo ya hapo;
Yan wew ndiye ambaye ungetupa uhakika kwamba baada ya makato yote, take home inabaki kiasi gani? Kwasababu wengi wetu hatuna taarifa sahihi kuhusu makato ya mshahara wa tutor. Please tell usKuna kimada wangu ameajiriwa juzi juzi, analipwa 1.6 kabla ya makato
Sasa si ufanye tu hesabu upate estimates za take homeYan wew ndiye ambaye ungetupa uhakika kwamba baada ya makato yote, take home inabaki kiasi gani? Kwasababu wengi wetu hatuna taarifa sahihi kuhusu makato ya mshahara wa tutor. Please tell us
784000Sasa si ufanye tu hesabu upate estimates za take home
Ondoa PAYE,NHIF,HESLB,Mfuko wa pensheni halafu itakayobaki ndio take home.