Mishahara ya tutorial assistant vyuo vya umma

Daaah! Salary ya 1.8m nimeipambania waapi naona mambo bado yamebounsi,but ngoja tuendelee kukomaa na hakahaka ka below 900k, yaani wakikukata unabakia na kama 300k takehome.Kwa taasisi za vyuo na wengineo Ukianza na Bachelor ni around 1.5m japokuwa fursa za field visit,monitoring ni chache.
 
Kama laki 6 hivi kasoro, hapo hujajumuisha HESLB, ukiijumuisha inafika laki 9 hivi.
Dah hapo sijakuelewa kidogo. Mshahara ni 1.6m . Wakikata laki 6 inanabaki 1m. Na heslb naskia wanakata 10% ambayo ni 160,000, ukiijumlisha na laki sita unapata 760,000 na siyo laki 9. Au mahesabu yanakuwaje
 
Dah hapo sijakuelewa kidogo. Mshahara ni 1.6m . Wakikata laki 6 inanabaki 1m. Na heslb naskia wanakata 10% ambayo ni 160,000, ukiijumlisha na laki sita unapata 760,000 na siyo laki 9. Au mahesabu yanakuwaje
Mshahara ni 1.8 gross Kwa tutorial assistant anayeanza kazi. Makato ni kama laki 6 hapo HESLB excluded. Ukiijumuisha makato yanafika around laki 9


Ninaposema around namaanisha huenda ni pungufu au juu kidogo
 
First degree__Tutorial assistant
Masters__Assistant lecturer
Phd_Lecturer
 
Kweli elimu Tanzania inadharauliwa sana, acha tu kina naniliu waendelee kukataa hadi maandishi yao, ninacho kisoma hapa kwa wadau kuhusu hizo pesa wanazo lipwa, HAPANA aise. Kusoma sana hadi kuipata hiyo Poor Hair Distribution (PHD) hakuna maana yoyote. Yaani mwalimu kamili wa chuo analipwa 3.5Ms? Khaa!
 
Kwakweli ni kujicheleweshea tu maendeleo. Title kubwa halafu hakuna kitu.
 
Samahani mkuu nikurekebishe mwenye masters ni assistant lecturer na siyo lecturer PhD holders ndo malecturers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…