jikadirie kwanza your level of education and then angalia sokoni watu kama ww katika secta hiyo ya sales wanalipwaje, bila kusahau kama una experience katika sector husika then unaweza kukadiria, another alternative ni kutoa range let say from 200,000/= to 500,000/= halafu unawaachia waamue wao hii ni nzuri zaidi unakuwa katika better chance of winning.