Mishahara ya Office attendant/assistant TANROAD

fab280391

Senior Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
122
Reaction score
31
Habari zenu, kwa kipindi kirefu sana kume kuwa na uhitaji mkubwa wa office attendants/assistants katika vituo vya mizani TANROAD. Kuna mahali niliona TRS 1.1 ndio mshahara wao bt sijui ni kiasi gani. Anayejua mishahara na posho zao atuambie jamani.
 
Chai,kahawa,nido na sukari ndiyo mshahara na ku.seketwa sana kwa KE
 
TRS 1.1
maana yake ni Tanroads Salary Scale ngazi ya mwanzo kabisa ambayo ni sawa na laki saba na nusu
 
Duh!,km hicho ndo kima cha chini basi huko ni kuzuri,Hivi mkuu kwenye hicho kitengo Qualifications zake zipoje???.
 
Qualifications.
Darasa la saba, Msichana mrembo, ujue kutengeneza chai, kahawa, kuleta maji ya kunywa, kutabasamu, kusafisha pale jikoni kwako and above all mabosi wakware wakitaka kupiga kimoja cha chapchap hapo hapo jikoni usiulize swali,

Enumerations.

akimaliza chukua mshiko wako wa nguvu kanunue kiwanja. Baada ya miezi miwili asilimia arobaini ya mabosi utakua umewaweka mfukoni.
 
Habari zenu, kwa kipindi kirefu sana kume kuwa na uhitaji mkubwa wa office attendants/assistants katika vituo vya mizani TANROAD. Kuna mahali niliona TRS 1.1 ndio mshahara wao bt sijui ni kiasi gani. Anayejua mishahara na posho zao atuambie jamani.
300,000
 
Back
Top Bottom