Dah! kweli huyu Rais ni noumaa na Dini imemkaa kwelikweli.
Kama analipwa USD 30000 kwa mwaka ni sawa na 4,500,000Tsh kwa mwaka that means kwa mwezi ni sawa na mshahara wa mwalimu 375,000Tsh.....Na ni Rais ambae anaishi maisha ya kawaida kwani uki google utashangaa kwani ata chakula anachokula ni cha kupikiwa na mkewe tofauti na viongozi wengine......Ni meshangaa Rais wa LIBERIA anajilipa fedha kibao nauku nchi yao bado sana kimaendeleo naukizingatia ndo kwanza wametoka ktk vita...Na kuna haja gani ya kiongozi kulipwa mihela yote hiyo nauku kila kitu anahudumiwa na serikali hadi kufa kwake?