Mishahara ya kampuni za ndege | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mishahara ya kampuni za ndege

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by williamgerald16, Nov 20, 2011.

 1. w

  williamgerald16 Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nifahamisheni mishahara kampuni za ndege inalipa au ni kama ya serikalini?
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Tena bora na ya serikali.over
   
 3. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kuna agency ya ndege za serikali..hawa wanalipwa mishahara mizuri kuliko agency zote za serikali.
   
 4. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,506
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ukitaka kuoga ziwani ama bwawani usimuulize chura kwa nini anatoka nje ama kwa nini mda wote yuko ndani ya maji wee ingia ujionee mwenyewe. Sisi tupo huko inategemea unataka sehemu gani.
   
 5. S

  Shembago JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fanya kazi,fedha baadae
   
 6. M

  Mwana Mnyonge JF-Expert Member

  #6
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 348
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  kuna baadhi ya coy zinalipa vizuri vile vile inategemea na position na education
   
 7. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #7
  Nov 21, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Jiajiri acha kulemaa!
   
Loading...