Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,243
- 5,140
- Thread starter
- #21
Io net au gross
Io net au gross
Mkuu naweza kupata Kazi ya ulinzi hapo nmehitimu mafunzo ya awali ya kijeshi JKT Elimu kidato Cha sita PGM maana kwenye makampuni haya wanalipa hela ndogo mno yani mpaka aibu ila hakuna namna tunafanya tu.Mshahara wa mtumishi aina ipi hapo Wizarani? Mlinzi? Secretary? HR? n k