mbona ndo nilikua nakuja unikope nisogeze sikuNimeshindwa kwenda kazin leo sina nauli mshahara bado kutoka
mbona ndo nilikua nakuja unikope nisogeze sikuNimeshindwa kwenda kazin leo sina nauli mshahara bado kutoka
Heri ya tumbo la mama lililokuzaa jaman, umejitoa kwa ajili ya wengine, ubarikiwe nduguKWA HUU MUHTASALI WA MAPATO NA MATUMIZI YA SERIKALI LABDA WATUMISHI MTAPEWA MSHAHARA LEO.
Ufafanuzi Wa Mapato Na Matumizi Ya Serikali Kwa Mwezi Machi, 2016
A: MAPATO
(i) Mapato ya kodi (TRA) shilingi 1,283,274,000,000
(ii)Mapato yasiyo ya kodi shilingi 77,504,000,000
(iii)Mapato yatokanayo na vyanzo vya Halmashauri shilingi 43,490,000,000
Jumla shilingi 1,404,268,000,000
(iv) Tunatarajia pia kupata mikopo na misaada ya mifuko ya Basket na miradi ya maendeleo kutoka kwa washirika wa maendeleo shilingi 71,200,000,000
B: MATUMIZI
1. Mishahara
(a) Watumishi wa Serikali Kuu na Serikali za Mitaa shilingi 484,057,177,680 ikijumuisha malimbikizo ya shilingi 9,479,389,384 na hasa kwa walimu katika Halmashauri 154
(b) Watumishi wa Taasisi na Wakala za Serikali shilingi 97,985,822,320 ikijumuisha malimbikizo ya shilingi 518,822,320 kwa Taasisi na Wakala 24 na hasa sehemu kubwa Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Jumla ya mishahara ni shilingi 582,043,000,000
2.Posho ya chakula kwa ajili ya vyombo vya ulinzi na usalama shilingi 43,556,500,000.
3.Ruzuku ya Vyama vya Siasa shilingi 1,433,583,000
4.Posho ya Madaktari wanafunzi 1608 shilingi 1,721,000,000.
5.Wizara ya Afya Ununuzi wa madawa na vifaa tiba shilingi 2,597,961,000
6.Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu kwa semista ya tatu shilingi 57,040,000,000
7.Kutekeleza mpango wa Elimu bure shilingi 18,777,000,000
8.Mapato ya ndani kwa Halmashauri kwa ajili ya miradi na uendeshaji wa ofisi shilingi 43,490,000,000
9.Madeni ya watumishi wasio walimu katika Halmashauri shilingi 3,618,900,612
10.Miradi ya umeme shilingi 73,252,000,000
- Wakala wa Umeme Vijijini shilingi 24,020,000,000
- Mradi wa Umeme Kinyerezi I shilingi 43,800,000,000
-Mradi wa kufua umeme makambako – Songea shilingi 5,482,000,000
11.Malimbikizo ya madeni ya Makandarasi wa barabara shilingi 166,905,919,730
12.Miradi ya Maji shilingi 10,951,000,000
13.Mfuko wa Reli shilingi 2,651,000,000
14.Fidia kwa wananchi kupisha mradi wa Kurasini Trade and Logistic Hub shilingi 3,048,904,930
15.Mradi wa Ununuzi wa dawa na vifaa Tiba (ORIO) shilingi 2,106,657,644
16.Mfuko wa kuchochea maendeleo ya jimbo shilingi 5,124,997,500
MUNGU Na akubariki kwa kujali familia yako kwanza, nimependa Sana hapo uliposema familia yako itakuelewaje, inaonyesha Ni jinsi gan unavojal familia yako, ubarikiwe siku zote nduguMimi mwenyewe bado sijapata sijui Sikukuu itakuwaje???,Duh!!! Mhe.Rais hili nalo ni jipu hadi Alhamis Kuu inaingia yaani patupu Familia itanielewaje jamani???.
Taarifa kwa watumishi wa ummaNina wadeni wangu wanadai mishahara bado.. Mlioko serikalini je ni kweli? Isije ikawa nadanganywa.. Pasaka nayo hiyooo.
Wewe Jipu!!Taarifa kwa watumishi wa umma
Kutokana na zoezi linaloendelea hivi sasa nchi nzima la kuondoa watumishi hewa katika mfumo wa malipo (pay roll)…na kufuatia ugumu wa kufanya uhakiki watumishi wote kama ambavyo mheshimiwa rais ameagiza…,
Hivyo basi kutakuwa na uchelewaji wa mshahara wa mwezi March hadi zoezi zima likamilike…, Tahadhari; TUMIA FEDHA YAKO YA AKIBA KWA UANGALIFU….
Asante mkuu bushland!!!,mimi ninaipenda familia yangu na sipendi inyanyasike wakati bado nipo hai,labda nife ndipo inyanyasike wakati nimekufa.MUNGU Na akubariki kwa kujali familia yako kwanza, nimependa Sana hapo uliposema familia yako itakuelewaje, inaonyesha Ni jinsi gan unavojal familia yako, ubarikiwe siku zote ndugu
salary hadi tarehe 15 April.... bado tunahakiki wafanyakazi hewa...
Si useme tu kuwa ww ni ticha na huna hela ya pasaka ndo unaulizia kijanja km mshahara Umetoka ili uende mjini ukachukue!!Nina wadeni wangu wanadai mishahara bado.. Mlioko serikalini je ni kweli? Isije ikawa nadanganywa.. Pasaka nayo hiyooo.

VIP ulifanikiwa kupata?Asante mkuu bushland!!!,mimi ninaipenda familia yangu na sipendi inyanyasike wakati bado nipo hai,labda nife ndipo inyanyasike wakati nimekufa.
Si useme tu kuwa ww ni ticha na huna hela ya pasaka ndo unaulizia kijanja km mshahara Umetoka ili uende mjini ukachukue!!
Vumilia tu ticha mshahara bado, Eti nna wadeni wangu!!![]()