Serikali imekosa mambo ya kufanya? Doctor hana likizo alingane na MWL? Kazi zmeisha za kufanya? Hakna mambo mengne kujadl bungen? TUMECHOKA NA POLOJO!

Dereva anaendesha gari la polisi anaenda kukamata jambazi mwenye bunduki atalipwaje sawa na dereva anaeendesha gari mahakama? hujui mwingine risk ni kubwa kuliko mwenzie?
Dereva anaendesha gari la polisi anaenda kukamata jambazi mwenye bunduki atalipwaje sawa na dereva anaeendesha gari mahakama? hujui mwingine risk ni kubwa kuliko mwenzie?
Kazwala mkuu umetisha
Watastaafu waajiri wapi. Kama mtu umevuta TZS 40,000,000 kwa mwezi sana na TZS 480,000,000 kwa mwaka sawa na TZS 1,440,000,000 kwa miaka mitatu mtu huyo kwani asianzishe miradi yake na yeye akawa mwajiri badala ya mwajiriwa?Kuna taarifa seikali imepeleka mswada bngeni utakaofanya wafanyakaz wote seriklini wenye kada sawa kulipwa mishahara na posho sawa. Je ina maana walioko juu mishahara yao itashushwa?
kisheria hili limekaaje?
Acha wivuUkiwa mkurugenzi TRA ulipwe 10m (mfano tu) ukiwa Wizarani ulipwe chini ya 4m..
Haileti maana ikiwa wote ni watumishi wa umma...
Mi naona powa tu...haiwezekani CEO wa kampuni iliyo chini ya Wizara ya Viwanda alipwe zaidi ya katibu mkuu wa Wizara...
Kama watashusha au watapandisha mshahara sijui, ila tofauti hizi zilikuwa hazileti maana....
Ndio unakuta mtu anafanya mipango aame toka taasisi moja kwenda nyingine na zote ni za umma...
Na hili linawezekana kama hawataacha kila taasisi (boards) kujipangia mishahara...mishahara ipangwe na hazina
As if ofisi moja ni muhimu zaidi ya nyingine...rank sawa mshahara sawa ndio solution...
Kadanganye walimu wa shule ya msingiDereva anaendesha gari la polisi anaenda kukamata jambazi mwenye bunduki atalipwaje sawa na dereva anaeendesha gari mahakama? hujui mwingine risk ni kubwa kuliko mwenzie?
Acha wivu