Kulipia mishahara dirishani wala siyo suluhisho, ili mradi waliweza kufanya uhakiki katika baadhi ya maeneo. Nadhani hicho ndicho kilichotakiwa kufanywa kwa nchi nzima na hilo linawezekana. Kila mwajiri atakiwe kuhakiki idadi ya watumishi alionao then kuwe na utaratibu wa kila mkuu wa sehemu kutoa taarifa za wafanyakazi kwa mwajiri kila mwezi. Hii itasaidia walau kuwa na taarifa zinazokaribiana na ukweli.Alisema, ulipaji huo wa mishahara utawezesha kugundua watumishi hewa na kutolea mfano wa uhakiki uliofanywa katika shule za sekondari, ambako moja ilielezwa kuwa ina walimu 17, lakini ikakutwa na walimu wawili na nyingine walimu 70, lakini ukweli ilikuwa na walimu 20. .
Habari wanaJF mimi ni memba mpya kabisa wa forum hii,ushirikiano ni muhimu kutoka kwenu. Nawasilisha.
na kuna wafanyakazi wapo mashuleni ina maana waache shule warudi kuchukua mshahara then waende tena vyuoni?mie sielewi hii serikali yaani miaka mingi sana wamelipa watu kupitia madirishani na bado kulikua na wizi sana kuliko hata sasa sijui wanachotafuta nini naona kama wanachezea pesa tu maana mishahara inaweza kutekwa au wafanyakazi wanaweza kutekwa wakiwa na mishahara na kisha kunyanganywa
bila shaka huyo waziri ulimshuhudia wewe mwenyewe je alikuambia ni miezi ipi hiyo ya kufanya zoezi hilo?
Mmmmmhh ndiyo maana nasema shule ya watanzania sijui ikoje... yaani hiyo mtu anaona ndiyo mbinu mbadala aliyoigundua. Ameshindwa kabisa kuhakiki kwa kutumia technologia. Nakumbuka wakati nafanya kazi Serikalini tuliambiwa eti hatuwezi kuchukulia mshahara benki kwa sababu tutatumia muda mwingi kufuata mshahara badala ya kufanya kazi.
sijui ujinga huu ulikua unatoka wapi!
Jamani msiongee mengi, huo mshahara tu wa January hadi ninavyoandika msg hii, haujawa deposited kwny deposit Ac ili bank waweze ku-disburse kwny AC za watumishi katika bank husika. Wamefanya mbwebwe za kuleta payroll na salary slip lakin hd sasa hawajatuma hyo mishahara. Nanivyofkri hy mbinu ya kulipa dirishani ni kufanya delay janja ili ionekane nature ya payment method ndo tatizo. Amini usiamini hzo fedha ztafika designation area late kwa visingzio kede ili kumbe wanasubri makusanyo kutoka vyanzo vya mapato ambvyo kimsingi vinatasilisha mapato kwa nyakati tofauti!