Fredwash
JF-Expert Member
- Oct 27, 2009
- 1,419
- 2,086
Habari wanaJF mimi ni memba mpya kabisa wa forum hii,ushirikiano ni muhimu kutoka kwenu. Nawasilisha.
haya karibu ila wewe ndio umekosea kabisa umepitiliza hadi vyumbani kwa wenyeji wakati kuna mahali pa kupokelea wageni. tena mbaya zaidi umeingia kwenye kikao kilichokuwa kinaendelea cha kusikitikia mautumbo ya magamba... hebu rudi kule sebuleni then kachungulie ule msahafu wa JF. karibu anyway