Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,696
- 164,967
mkuu unaishi wapi, mishahara ishatoka tangia tarehe 24,December
watu wameshazipoteza hata salary slip zake we ndiyo unaulizia mshahara?jamani hii serikali imefilisika kiasi cha kushindwa kulipa mishahara ya watumishi wa umma?
Leo tarehe 30/12/2013 hakuna mishahara!
Nini kinaendekea katika hili?
Basi hii mishahara siku hizi inakipwa kwa mafungu mafungu!Mkuu mishahara toka tar 24 sie sector ya afya.
Basi hii mishahara siku hizi inakipwa kwa mafungu mafungu!Mkuu mishahara toka tar 24 sie sector ya afya.
mh!mimi niko sekta ya afya hakijaeleweka...CRDB !Mkuu mishahara toka tar 24 sie sector ya afya.
Mkuu,angalia inawezekana umepigwa SP a.k.a BAN.
We ndo umesema ukweli.Watumishi wote wa serikali kuu chini ya katibu mkuu bado hadi leo.ila sector nyingine na halmashahri ndo tayar.
sio kweli, hata kwa central tayari tangu 23,Watumishi wote wa serikali kuu chini ya katibu mkuu bado hadi leo.ila sector nyingine na halmashahri ndo tayar.