Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,928
- 141,878
kuwa mstaarabu hasa unapochangia hoja zinazogusa maisha ya watu. Unamaanisha nini kusema wala vumbi. Bila wao hata hizo keypads usingezijua. Dharau zako zinaonyesha jinsi ambavyo hukuelimika japo ulowait wala vumbi kujitolea kwa uwezo wao wote kukuelimisha. Si makosa yako lakini. Utakuwa umevimbiwa hizo posho za bmk au wewe ni wa mtaa wa lumumba. Maamuma wewe!
Kwa jazba ulizonazo lazima utakuwa mla vumbi wewe. Pole.
umeshamaliza kuogesha vibibi vya kizungu?
kuwa mstaarabu hasa unapochangia hoja zinazogusa maisha ya watu. Unamaanisha nini kusema wala vumbi. Bila wao hata hizo keypads usingezijua. Dharau zako zinaonyesha jinsi ambavyo hukuelimika japo ulowait wala vumbi kujitolea kwa uwezo wao wote kukuelimisha. Si makosa yako lakini. Utakuwa umevimbiwa hizo posho za bmk au wewe ni wa mtaa wa lumumba. Maamuma wewe!
Acheni porojo zenu,mishahara imeshalipwa zamani sana.
mkuu wewe ndio unaleta porojo, mimi ndio nakwambia hakuna mshahara uliolipwa kwa manispaa 3 za hapa Dar.
Kuwe na sheria a kuwabana waajiri kwamba ni lazima wawalipe waajiliwa katika tarehe husika na kama hawatafanya hivyo wapigwe faini.
Ina maana na mishahara ya mawaziri na makatibu wakuu nayo imechelewa kulipwa?.
Sasa kama watumishi wa serikali waliopo Dar hawajalipwa mpaka sasa, je watumishi wa serikali waliopo Tandahimba na Tanganyika masagati watalipwa lini?. Inasikitisha kwa kweli.
Ilala tayari toka ijumaa
Acha porojo mkuu mimi nipo Ilala hakuna mtumishi wa kada yangu aliyelipwa mshahara.