Mishahara mipya ya walimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mishahara mipya ya walimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kimetah, Jul 13, 2013.

 1. Kimetah

  Kimetah JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2013
  Joined: May 8, 2013
  Messages: 1,033
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Chondechonde waalimu msijewaacha matoto wetu pekeyao,subirini serikali ikusanye kodi kila mahali kabda mtakumbukwa,,wameanza kwenye line za simu,
  [​IMG]
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2013
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,100
  Likes Received: 3,702
  Trophy Points: 280
  Walimu jamani, mbona wanadhalilishwa hivi, kwani wafanyakazi wengine wa serikali hawahusiki na nyongeza za mishahara. Tusiwaandame walimu jamani as if ndio wenye mishahara kuliko wafanyakazi wengine!
   
 3. v

  victorjiwe Senior Member

  #3
  Jul 13, 2013
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tanzania ni nchi isojali walimu, pay roll zimetoka tayari na ni kama ifuatavyo
  Certfct TGTS B-304000

  Diplm TGTS C-432500

  Degree TGTS D-589000

  TGTS E-769000
   
 4. Kimetah

  Kimetah JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2013
  Joined: May 8, 2013
  Messages: 1,033
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mkuu kunakaukweli nini?mana huku kitaa walimu wanasubidi kupandishwa mishahara kwa asilimia 80
  kinyume cha hapo wawaacha wanafunzi shuleni
   
 5. Kimetah

  Kimetah JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2013
  Joined: May 8, 2013
  Messages: 1,033
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  walimu hawanaga mishahara bali ni posho ya mwezi
   
 6. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2013
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,725
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Toa kitu full mkuu; tupange bajeti
   
 7. xir jyerphy

  xir jyerphy JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2013
  Joined: Jul 12, 2013
  Messages: 996
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Sas walmu mnatak m2uwe cc ambao 2po mashulen...cjui mnatak mlpwe kwa lip mnalofanya... mashulen hatuwaon lkn vmbelembele kujadil mishahara yenu minono
   
 8. I

  Iddimarisa Member

  #8
  Jul 13, 2013
  Joined: Jul 12, 2013
  Messages: 29
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  hahahahhahahha duuuuh
   
 9. v

  victorjiwe Senior Member

  #9
  Jul 13, 2013
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kichwa Ngumu we panga tu bajeti vizuri habari ndio hiyo!
   
 10. M CM

  M CM JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2013
  Joined: Nov 25, 2012
  Messages: 1,953
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  Acheni unafiki na mada zenu za kijinga zisizo na tija kwa walimu
   
 11. giraffe

  giraffe JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2013
  Joined: Jun 6, 2010
  Messages: 504
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  TGTS A1 296,000
  TGTS B1 344.000
  TGTS C1 432,500
  TGTS D1 589,000
  TGTS E1 769,000
  TGTS F1 1,003,000
  TGTS G1 1,320,000
  TGTS H1 1,734,000
  TGTS I1 2,415,000 hii ndio mishara mipya
   
 12. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2013
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,019
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  nyie ndio maana hata research/dessertation mnasuasua sana, hutoi source watu wakarejea unaleta uchafu wenu hapa, haya maoni yako unataka watu wakubali? hata kama yana ukweli, lazima uweke proof
   
 13. r

  rfa Senior Member

  #13
  Jul 26, 2013
  Joined: Feb 20, 2013
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walimu tuingie barabarani kulianzisha , kwani huu ni ujinga kudharauliwa kiasi hiki. wataisoma namba 2015 , naapa kweli cccm hawata ingia ikulu tena, tutawapa chadema tuwapime nao kwa miaka 5
   
 14. r

  rfa Senior Member

  #14
  Jul 26, 2013
  Joined: Feb 20, 2013
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani na kadegree kangu mshahara ni wakipuuzi hivi. ngoja nijiendee nyumbani itumbiko kakonko kulima mpunga kwani kamshahara haka nitaugua pressure bure, ccem tutaonana 2015
   
 15. D

  Devla Member

  #15
  Jul 26, 2013
  Joined: Jun 16, 2013
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Toba, Watoto wamerudishwa ada nasubiria salary, mwenyumba anasubiri kodi, umeme na maji cjalipa deni la chakula kwa meku, mi ticha jamani lini madeni yatakwisha au kupungua?
   
Loading...