TGTS A1 296,000
TGTS B1 344.000
TGTS C1 432,500
TGTS D1 589,000
TGTS E1 769,000
TGTS F1 1,003,000
TGTS G1 1,320,000
TGTS H1 1,734,000
TGTS I1 2,415,000 hii ndio mishara mipya
angalia uhusiano wa hii ya nyuma, na huo uchafu wenu mnaoweka hapa. hakuna ukweli wa mishahara mnayoongea hapa
acheni kupotosha watu, ninachoweza kuwaambia wenzetu waimu, mshahara bado haujulikani,
kwa mfano, kama housegirl 40,000/- kule kwenye makampuni ya simu sh 400,000 je mtumish wa umma atapata ngapi??
simple maths ni kwamba haiwezekana ongezeko wakati huu amabo kuna malalaloko waweke kiasi hicho

Mwaka3013?Wekeni walaka mpya wa mwaka 3013 siyo huo ambao wanaotujali walishatuwekea mwaka jana!
Mwaka3013?
mimi niwahakikishie tu walimu wetu, kwa kuwa mshahara wa watu wa makampuni ya simu, kima cha chini ni sh 400,000/-? ninyi lazima itagusa hapo hapo au hata laki 5 kwa mwezi kima cha chini. Haiwezekani mshahara wenu uwe chini ya hapo kima cha chini? kwa hiyo wanosema 553000, ni waongo, 553000, labda ndio iwe kima cha chini au diploma, kwa vyovyote degree lazima apate 700,000 kuendelea, endeleeni kibisha
ova