Mishahara mipya kada ya afya jamaa wako vizuri sana.

Mishahara mipya kada ya afya jamaa wako vizuri sana.

Omwojo

Member
Joined
Mar 3, 2015
Posts
80
Reaction score
15
Waraka huo hapo, kadada kangu ndo kanamaliza nursing sijui ndio daraja gani mwenye kujua please.
 

Attachments

  • 1437757761929.jpg
    1437757761929.jpg
    56.9 KB · Views: 5,624
Anamalisa nursing level gani? Diploma, certificate au degree? Certificate wanaanza na TGHS A1, Diploma TGHS B1, Degree TGHS C1. Naomba tuwekee scale zote za Afya
 
Anamalisa nursing level gani? Diploma, certificate au degree? Certificate wanaanza na TGHS A1, Diploma TGHS B1, Degree TGHS C1. Naomba tuwekee scale zote za Afya

Tghc C1 ni kwa advanced diplomas bwana degree za afya ni TGHS D1 na degree ya medicine ni TGHS E1
 
Duuh. Walimu hawana chao nchi hii. Wanaendelea kupuuzwa na serikali. Wanaonekana hawana maana nchini TZ.
 
Tangu Lini Hiyo Mishahara Hapa Bongo Ikawa Mizuri
Tatizo Huwa Watu Hampendi Kuuliza Wahusika
Hali Zao Mbaya Ndiyo Maana Zinaibwa Pia Hawana Namna

Kuna Mtu Wa Hiyo Idara Anasema Hali Yao Mbaya Hawalipwi Over Time Zaidi Ni Kuwa Inabidi Tu Kufanya
Kwa Ujumla Mambo Ni Magumu Mno Serikalini Kila Kona
 
Hizo Advanced Diploma za afya una habari nyingi zilishafutwa???!!!Hata kwenye muundo wa utumishi wa umma hakuna Advanced diploma iliyotajwa, level zinazotajwa ni Certificate, Diploma, Degree, Masters n.k. wapi umesikia ajira inatangazwa na sifa ikawa Advanced diploma?
 
Waraka huo hapo, kadada kangu ndo kanamaliza nursing sijui ndio daraja gani mwenye kujua please.

Yaani huto tumishahara tumekutoa roho, hadi ushaanza kumpigia mahesabu dada yako?!!! Ambaye hata ajira hana...
 
Nyongeza ya 8000 haitoshi hata kujiunga kifurushi week nzima.
 
Back
Top Bottom