jocktan kiyombo
Member
- Aug 23, 2016
- 15
- 4
Kwel september mosi inaleta maendeleo, maana nilisikia ccm 30.08.2016 watakuwa namaandamano sijui yakuwashukuru wananch mara jwtz september mosi watafanya usafi nchi nzima mara september mosi kunakuongezewa mishahara yawafanyakaz wa umma duuu, bado wengine tunawasubil wajitokeze,mkuu, kuanzia septemba mishahara itapanda na watumishi wanaostahili kupanda vyeo watapandishwa na kuanza kulipwa mishahara yao mara moja.
Mkuu na swala la kuruhusu uhamisho kuendelea likoje?Kindly let me confirm your thread is true I think all of us we will praise Dr Magufuli. kutokusafiri nakukaa ikulu muda mrefu ni siri ya hayo uio andika
Zimeokolewa kiasi gani? Tunao watumishi wangapi? Itapanda maradufu ni uwongo mkubwa! Hivi unaelewa tukisema mishahara imepanda mara mbili, mara 3 au mara 4? Hiyo maradufu maana yake nini? Unamaanisha zaidi ya mara 10 au 50? Hata kama mishahara itapanda naamini itakuwa ni kwa ongezeko la asilimia fulani tu, haiwezi kupanda hata mara mbili ya walichokuwa wakipata, achilia mbali hiyo maradafu iliyotajwa na mshereheshaji.mkuu, ni kutokana na fedha zilizookolewa kutoka watumishi na wanafunzi hewa.
We Bajeti uliisoma yote na kuelewa view???Kwa bajeti ipi iliyopitishwa na bunge, itakuwa ni kuingilia muhimili mungine wa dola
Mkuu hata wewe hujui....maradufu ni mara mbili...sema haiwezekani....Zimeokolewa kiasi gani? Tunao watumishi wangapi? Itapanda maradufu ni uwongo mkubwa! Hivi unaelewa tukisema mishahara imepanda mara mbili, mara 3 au mara 4? Hiyo maradufu maana yake nini? Unamaanisha zaidi ya mara 10 au 50? Hata kama mishahara itapanda naamini itakuwa ni kwa ongezeko la asilimia fulani tu, haiwezi kupanda hata mara mbili ya walichokuwa wakipata, achilia mbali hiyo maradafu iliyotajwa na mshereheshaji.
Bahati mbaya ya Watanzania walio wengi, kiingereza hatujui, hata lugha yetu ya Kiswahili nayo hatuijui, ni nini tunachojua?
Hakuna cha ukuta au mlangoDuh au njama za kuvunja ukuta
mkuu, ni kutokana na fedha zilizookolewa kutoka watumishi na wanafunzi hewa.
Unalipa kodi Mkuu??Wapandishe!mie nina wapangaji wangu watumishi wa umma,wanailalamikia sana serikali kuto wajali!ebu wapeni stahiki zao lawama ziishe.!
Upo sahihi, asante.Mkuu hata wewe hujui....maradufu ni mara mbili...sema haiwezekani....
unaotamkuu, ni kutokana na fedha zilizookolewa kutoka watumishi na wanafunzi hewa.
Naona wewe unamaanisha tukutane hapa JFUKUTA UKO PALE PALE TUKUTANE SEPTEMBER MOSI