Asa mnachoamini ni kipi...ngoja bas itoke nyingine ya mishahara midogo zaidi ya hio. Nayo mtasemaje sjui, utasikia tunanyooshwa mara hapa kazi tu mara maisha magum mara tunanyongwa mchana kweupe...na maneno kibao
Hivi watu ambao huwa wanavumisha haya mambo hawafahamu kuwa matumizi ya serikali ni lazima yawe yameidhinishwa na Bunge? Je, kama Bunge katika bajeti ya 2016/2017 halikuidhinisha bajeti yenye ongezeko la mishahara, fedha za kuongeza mishahara katikati ya mwaka wa fedha zinatoka wapi? Kabla ya kuandika unakuwa umejiuliza swali hili?? Na hata kama ingekuwa ni kweli, mbona ulichoweka ni karibia hicho hicho kinacholipwa kwa sasa? mabadiliko yako wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.